Hawana sababu nyingine zaidi ya dini na Pan African uchwarakuna watu wanamuona gadafi ni kama shujaa ila yule jamaa kila sehemu iliyokuwa na migogoro ilikuwa na mkono wake
Hawana sababu nyingine zaidi ya dini na Pan African uchwarakuna watu wanamuona gadafi ni kama shujaa ila yule jamaa kila sehemu iliyokuwa na migogoro ilikuwa na mkono wake
AShakum si matusi mwenetu , huyo baba ake Hans alikua mkuu wa polisi Ziwa magharibi kwa miaka hiyo kwa sasa ndio Kagera ,Bongo tulianza uchokozi toka 1972.
Jiulize baba yake Hanspope, askari, alikamatwa ndani ya Uganda na kuuawa, alienda kufanya nini huko?
Uwongo chai cha yai kilokoleGaddafi alimsaidia Iddi Amin pia kuivamia Tanzania
Mchungaji gani kakulisha matango yenye sumu nenda kadai Sadaka yako umetapeliwa!!Pia akitoa silaha kwa Idd amin Dada kupiga Tanzania akishirikiana na Palestine
Unafahamu maana ya kufadhili mkuu?Si ndio fadhila zenyewe ... kufadhili ==>> fadhila
Gaddafi mwenyewe alipindua kupata madarakaKwa hiyo Ghadaffi alikuwa mwana mapinduzi ?.
Palestina haijawahi kushirikiana na Uganda ya Idd Amini, bali baadhi ya wapalestina.Pia akitoa silaha kwa Idd amin Dada kupiga Tanzania akishirikiana na Palestine
Acha kukurupuka,tofautisha wanasiasa na waasiPolitical Asylum ni haki ya msingi sio uchokozi
Kuna kipindi hata viongozi wetu wa kisiasa hata CHADEMA walienda kuomba political asylum. Je waliua nani?
Hata wewe unaweza omba political asylum popote pale
Mtu mweusi si wakumuwekea matumaini au kumtegemeaHalafu ilivyofika zamu ya Gadar kuhitajika kusaidiwa?. Akabakia peke yake kwenye shimo. Dunia it's fare.
Kuna funzo kubwa sana hapa. Hata ktk maisha yetu ya kawaida,mfano unapomsomesha mtoto wako au yoyote kamwe usiweke matatajio ya kukusaidia au kukurudishia hisani hiyo baadae. Utakuja kuumia sana kama una matatajio hayo. Anaweza akapata mafanikio makubwa halafu wewe akakuona mchawi wake ksbb mke hapati mimba. Kawaida tenda wema nenda zako.
Hivi General Ally unamjua lakini🤣🤣Mzee anazeeka vibaya anaanza kutoa siri za kambi.
Pope aliuawa miaka 7 kabla ya vita ya kageraAShakum si matusi mwenetu , huyo baba ake Hans alikua mkuu wa polisi Ziwa magharibi kwa miaka hiyo kwa sasa ndio Kagera ,
Wakati majeshi vamizi yanaingia kuteka mji hakukua na kikosi kikubwa cha jeshi hivyo kwa wivu mkubwa polisi nao wakaunga mapambano,
Nia na madhumuni kumchelewesha adui huku wakisubiri msaada wa vikosi rafiki
Basi bwana mjukuu wangu huyo mzee Pope alikua chotara zungu zungu flani hivi sio kama mzee ponjoro,
Wale askari wa Idd Amin wakamuua hapa hapa Kagera kisha mwili wakasepa nao, unajua kwanini?
Mwili ule waliondoka nao kama propaganda ya kivita kuwa Tanzanians wanasaidiwa na majeshi ya kigeni na ushahidi ni huu mwili wake hapa kumbe alikua ni Mtanzia ,umeelewa kijana wangu🤣🤣
uko sahihi miaka kidogo imeyumba lakini taarifa zingine zote ziko sawa , alafu mumeo anapata tabu sana mwanamke unamjua hadi mchepuko wa Kagame🤣🤣🤣😅🤣🤣Pope aliuawa miaka 7 kabla ya vita ya kagera
Ni kitu gani hichi mzeeKwa wasiojua batalion naomba mniulize
Aisee asante kwa taaifa? Vipi na Horace Naye alikuwa mzungu?AShakum si matusi mwenetu , huyo baba ake Hans alikua mkuu wa polisi Ziwa magharibi kwa miaka hiyo kwa sasa ndio Kagera ,
Wakati majeshi vamizi yanaingia kuteka mji hakukua na kikosi kikubwa cha jeshi hivyo kwa wivu mkubwa polisi nao wakaunga mapambano,
Nia na madhumuni kumchelewesha adui huku wakisubiri msaada wa vikosi rafiki
Basi bwana mjukuu wangu huyo mzee Pope alikua chotara zungu zungu flani hivi sio kama mzee ponjoro,
Wale askari wa Idd Amin wakamuua hapa hapa Kagera kisha mwili wakasepa nao, unajua kwanini?
Mwili ule waliondoka nao kama propaganda ya kivita kuwa Tanzanians wanasaidiwa na majeshi ya kigeni na ushahidi ni huu mwili wake hapa kumbe alikua ni Mtanzia ,umeelewa kijana wangu🤣🤣
Ni kikosi cha wanajeshi 500-1000 chenye makao yake pamoja na mkuu wakeNi kitu gani hichi mzee
Sawa mkuu. Lakini kibongo bongo uhalisia ndio uko hivyo. Kumsaidia ilitakiwa kwa hali na mali basi my friend Gadaf Vita vimetushinda basi wangemtorosha hivi sasa angekuwa anapumulia mahala fulani mafichoni Uganda.Huwezi jua labda nao kuna support walitoa kwa Ghadafi kwa kumpa maaskari mamluki ni vile tu walizidiwa nguvu. Subiri tu miaka 30 au 40 ijayo utapata story kama hizi za M7 kuhusu vita vya Libya
shida hata historia na yaliyotkea ufahamu yani wewe unaweza hata kuunganishwa na makundi ya kigaidi bila kujua .soma hapaSasa uchokoze mtu halafu ulaumu aliyempa msaada?
| Nchi / Kundi | Maelezo ya Uhusiano au Ufadhili |
|---|---|
| Chad | Vita ya Aouzou Strip (1980s); alisaidia waasi wa FROLINAT dhidi ya serikali. |
| Liberia | Alihusika kumfadhili Charles Taylor, ambaye alianzisha vita vya kikatili vya wenyewe kwa wenyewe. |
| Sierra Leone | Kupitia Charles Taylor, alihusishwa na RUF waliotekeleza mauaji na ukataji wa viungo. |
| Sudan (Darfur) | Alitoa msaada kwa baadhi ya makundi ya waasi (hasa Janjaweed kwa kipindi fulani). |
| Uganda | Aliunga mkono Idi Amin na alitoa misaada ya kijeshi na fedha. |
| Ethiopia & Eritrea | Alijaribu kuingilia migogoro yao kwa misingi ya sera za Pan-Africanism. |
| Burkina Faso | Alikuwa karibu na Thomas Sankara, kisha baada ya kuuawa, alisaidia Blaise Compaoré aliyempindua. |
| Zaire (DRC ya sasa) | Alishirikiana na Mobutu kwa muda, lakini baadaye aliwasaidia wapinzani wake. |
| Niger & Mali | Aliwasaidia Watu wa Tuareg katika harakati zao za uhuru (ambazo zilipelekea vita). |
| Nchi / Kundi | Maelezo |
|---|---|
| Ireland (IRA) | Alitoa silaha kwa Irish Republican Army (IRA) mapema miaka ya 1970-1980. |
| Palestine (PLO) | Aliunga mkono Yasser Arafat, kisha baadaye akawageukia kwa ukosoaji. |
| Lebanon | Alishutumiwa kwa kuchochea baadhi ya makundi ya Kiislamu katika vita vya wenyewe kwa wenyewe. |
| Syria | Mara kadhaa aliwahi kuungana na Assad dhidi ya Marekani, lakini pia walihitilafiana. |
| Iran | Alionyesha uungaji mkono kwa Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, lakini uhusiano ulidorora. |
| Nchi / Kundi | Maelezo |
|---|---|
| Venezuela | Alikuwa na uhusiano wa karibu na Hugo Chávez, walishirikiana kwenye siasa dhidi ya Marekani. |
| Cuba | Alikuwa mshirika wa Fidel Castro, hasa katika muktadha wa mapambano dhidi ya ukoloni mamboleo. |
| Filipino Muslim Rebels (MILF/MNLF) | Aliwahi kusaidia kwa mafunzo na fedha. |
| Revolutionary groups duniani | Gaddafi alianzisha kitu alichokiita “World Revolutionary Center” kwa ajili ya kufundisha waasi kutoka mataifa ya dunia ya tatu. |