Museveni asema kuwa Gaddafi alimpa bunduki za Battalion nzima kwenye vita ya kimapinduzi, walizificha msikitini

Palestina haijawahi kushirikiana na Uganda ya Idd Amini, bali baadhi ya wapalestina.
Pia ukweli mchungu ni kuwa Muammar Gaddafi ameifanyika makubwa hii Afrika,hata hiyo AFDB-African development bank ni zao la Muammar Gaddafi, satellite ya mawasiliano ya kwanza huku Africa ni zao la Gaddafi.
Mkatae msikatae yule jamaa alikua na mchango mkubwa sana Africa.
Usitizame mabaya ya mtu tu,tizameni ni mema yake Kesha mpime mizani.
Inawezekana sio Palestine ila PLO ilipeleka askari/wana gambo uganda
 
shida hata historia na yaliyotkea ufahamu yani wewe unaweza hata kuunganishwa na makundi ya kigaidi bila kujua .soma hapa

ORODHA PANANA YA NCHI, MAKUNDI AU MIGOGORO AMBAYO GADDAFI ALIHUSIKA KWA NJIA YA UFADHILI AU KUCHOCHEA​

🌍 Afrika​

Nchi / KundiMaelezo ya Uhusiano au Ufadhili
ChadVita ya Aouzou Strip (1980s); alisaidia waasi wa FROLINAT dhidi ya serikali.
LiberiaAlihusika kumfadhili Charles Taylor, ambaye alianzisha vita vya kikatili vya wenyewe kwa wenyewe.
Sierra LeoneKupitia Charles Taylor, alihusishwa na RUF waliotekeleza mauaji na ukataji wa viungo.
Sudan (Darfur)Alitoa msaada kwa baadhi ya makundi ya waasi (hasa Janjaweed kwa kipindi fulani).
UgandaAliunga mkono Idi Amin na alitoa misaada ya kijeshi na fedha.
Ethiopia & EritreaAlijaribu kuingilia migogoro yao kwa misingi ya sera za Pan-Africanism.
Burkina FasoAlikuwa karibu na Thomas Sankara, kisha baada ya kuuawa, alisaidia Blaise Compaoré aliyempindua.
Zaire (DRC ya sasa)Alishirikiana na Mobutu kwa muda, lakini baadaye aliwasaidia wapinzani wake.
Niger & MaliAliwasaidia Watu wa Tuareg katika harakati zao za uhuru (ambazo zilipelekea vita).

🌍 Ulaya & Mashariki ya Kati​

Nchi / KundiMaelezo
Ireland (IRA)Alitoa silaha kwa Irish Republican Army (IRA) mapema miaka ya 1970-1980.
Palestine (PLO)Aliunga mkono Yasser Arafat, kisha baadaye akawageukia kwa ukosoaji.
LebanonAlishutumiwa kwa kuchochea baadhi ya makundi ya Kiislamu katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.
SyriaMara kadhaa aliwahi kuungana na Assad dhidi ya Marekani, lakini pia walihitilafiana.
IranAlionyesha uungaji mkono kwa Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, lakini uhusiano ulidorora.

🌍 Kwingineko (Global)​

Nchi / KundiMaelezo
VenezuelaAlikuwa na uhusiano wa karibu na Hugo Chávez, walishirikiana kwenye siasa dhidi ya Marekani.
CubaAlikuwa mshirika wa Fidel Castro, hasa katika muktadha wa mapambano dhidi ya ukoloni mamboleo.
Filipino Muslim Rebels (MILF/MNLF)Aliwahi kusaidia kwa mafunzo na fedha.
Revolutionary groups dunianiGaddafi alianzisha kitu alichokiita “World Revolutionary Center” kwa ajili ya kufundisha waasi kutoka mataifa ya dunia ya tatu.

CV kubwa hiyo.
Kama alikuwa anasomana na Thomas Sankara, Fidel Castro, Hugo Chavez, kusaidia Weusi wa Tuareg kudai uhuru, kusaidia wana Darfur dhidi ya uonevu wa Sudan. Basi alikuwa mtu mmoja makini sana.

Nakumbuka Mandela alipotoka jela alienda kwa gari kumshukuru Ghadafi kwa kuisaidia ANC
 
UNAONGEA UMEMALIZA SWALA YA MSIKITI WA SOMALIA AU
 
Mchungaji gani kakulisha matango yenye sumu nenda kadai Sadaka yako umetapeliwa!!

Ingekuwa ni kweli ushuzi huu basi mwalimu julias nyerere angewacha kuitetea Palestina faam mwalimu alikuwa nguzo ya Palestina na ni mwiba kwa Israeli..
Bora ya ushuzi wangu kuliko kinyesi ulicho jipaka. Inawezekana Palestine kama nchi haijapeleka askari ila PLO walipeleka askari karibia 400 Uganda. Go and revisit your history book mzee wa kinyesi.
 
Nyerere ndo alikuwa anafadhili hadi waasi huko Nigeria. Waasi wa Biafra.

Wanigeria walileta Askari kuistabilize serikali yake iliyonusurika kupinduliwa na Askari mwaka 1964, Shukrani yake kwa Nigeria ikawa kusapoti waasi waliotaka kujitenga wa Biafra miaka michache baadae.
Sema historia tunayofundishwa mashuleni hadi vyuo ina mambo mengi sana yamefichwa. Historia yetu inaishia kwa kusema "Mwalimu aling'atuka" wakati behind the scene moto ulikuwa unawaka
 
Palestina haijawahi kushirikiana na Uganda ya Idd Amini, bali baadhi ya wapalestina.
Pia ukweli mchungu ni kuwa Muammar Gaddafi ameifanyika makubwa hii Afrika,hata hiyo AFDB-African development bank ni zao la Muammar Gaddafi, satellite ya mawasiliano ya kwanza huku Africa ni zao la Gaddafi.
Mkatae msikatae yule jamaa alikua na mchango mkubwa sana Africa.
Usitizame mabaya ya mtu tu,tizameni ni mema yake Kesha mpime mizani.
Gaddafi alikuwa gaidi. Hakuna mazuri yanayoweza kuwa sawa na uhai wa binadamu. Ameshiriki uovu mwingi.
 
Taja huo uovu alioshiriki?
Nasubiri hapa huo uovu uutaje.
Ila wazungu waliowatawala na kuwafanya watumwa na kuwalazimisha mfunge ndoa za kulawitiana ni watu wema au siyo?
Tutajie maovu ya Gaddafi ama ugaidi wake?
 
shida hata historia na yaliyotkea ufahamu yani wewe unaweza hata kuunganishwa na makundi ya kigaidi bila kujua .soma hapa

ORODHA PANANA YA NCHI, MAKUNDI AU MIGOGORO AMBAYO GADDAFI ALIHUSIKA KWA NJIA YA UFADHILI AU KUCHOCHEA​

🌍 Afrika​

Nchi / KundiMaelezo ya Uhusiano au Ufadhili
ChadVita ya Aouzou Strip (1980s); alisaidia waasi wa FROLINAT dhidi ya serikali.
LiberiaAlihusika kumfadhili Charles Taylor, ambaye alianzisha vita vya kikatili vya wenyewe kwa wenyewe.
Sierra LeoneKupitia Charles Taylor, alihusishwa na RUF waliotekeleza mauaji na ukataji wa viungo.
Sudan (Darfur)Alitoa msaada kwa baadhi ya makundi ya waasi (hasa Janjaweed kwa kipindi fulani).
UgandaAliunga mkono Idi Amin na alitoa misaada ya kijeshi na fedha.
Ethiopia & EritreaAlijaribu kuingilia migogoro yao kwa misingi ya sera za Pan-Africanism.
Burkina FasoAlikuwa karibu na Thomas Sankara, kisha baada ya kuuawa, alisaidia Blaise Compaoré aliyempindua.
Zaire (DRC ya sasa)Alishirikiana na Mobutu kwa muda, lakini baadaye aliwasaidia wapinzani wake.
Niger & MaliAliwasaidia Watu wa Tuareg katika harakati zao za uhuru (ambazo zilipelekea vita).

🌍 Ulaya & Mashariki ya Kati​

Nchi / KundiMaelezo
Ireland (IRA)Alitoa silaha kwa Irish Republican Army (IRA) mapema miaka ya 1970-1980.
Palestine (PLO)Aliunga mkono Yasser Arafat, kisha baadaye akawageukia kwa ukosoaji.
LebanonAlishutumiwa kwa kuchochea baadhi ya makundi ya Kiislamu katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.
SyriaMara kadhaa aliwahi kuungana na Assad dhidi ya Marekani, lakini pia walihitilafiana.
IranAlionyesha uungaji mkono kwa Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, lakini uhusiano ulidorora.

🌍 Kwingineko (Global)​

Nchi / KundiMaelezo
VenezuelaAlikuwa na uhusiano wa karibu na Hugo Chávez, walishirikiana kwenye siasa dhidi ya Marekani.
CubaAlikuwa mshirika wa Fidel Castro, hasa katika muktadha wa mapambano dhidi ya ukoloni mamboleo.
Filipino Muslim Rebels (MILF/MNLF)Aliwahi kusaidia kwa mafunzo na fedha.
Revolutionary groups dunianiGaddafi alianzisha kitu alichokiita “World Revolutionary Center” kwa ajili ya kufundisha waasi kutoka mataifa ya dunia ya tatu.
Duuh
 
Taja huo uovu alioshiriki?
Nasubiri hapa huo uovu uutaje.
Ila wazungu waliowatawala na kuwafanya watumwa na kuwalazimisha mfunge ndoa za kulawitiana ni watu wema au siyo?
Tutajie maovu ya Gaddafi ama ugaidi wake?
Nikutajie wewe kama nani? Nitolee upumbavu wako hapa.
 
Bora ya ushuzi wangu kuliko kinyesi ulicho jipaka. Inawezekana Palestine kama nchi haijapeleka askari ila PLO walipeleka askari karibia 400 Uganda. Go and revisit your history book mzee wa kinyesi.
Weka Ushaid wacha maneno.
 
Mbona unatukana?
We ni MSENGEEE!?
Umeni quote nilikutuma uni quote!?
Nakujibu unipe majibu unanitukana!?
Mseeeengyeeee maji wewe!
Kuwa mstaarabu. Matusi sio mazuri kwa great thinker. Vinginevyo utazidi kuonekana maku mbele ya umati wa waungwana.
 
Back
Top Bottom