Museveni asema kuwa Gaddafi alimpa bunduki za Battalion nzima kwenye vita ya kimapinduzi, walizificha msikitini

Museveni asema kuwa Gaddafi alimpa bunduki za Battalion nzima kwenye vita ya kimapinduzi, walizificha msikitini

Kwa hiyo unaona sawa alistahili kukuchangia kukupiga au wewe ni team Arab for any circumstances?!

Sisi tulikuwa wachokoziwachokozi.
Wewe unajua vita ya mwaka 1978, Hujui kuwa tulianza uchokoziuchokozi ndani ya Uganda toka mwaka 1972.
Pia tukivipa hifadhi vikundi vya uasi, huku vikienda kushambulia na kupiga ndani ya Uganda na kisha kukimbilia kwetu.
Museveni tulimpa hadi identity ya huku, kumbe anacoordinate mipango ya uasi ndani ya Uganda
 
Unafahamu maana ya kufadhili mkuu?
Sponsoring?
Lini Palestine authority sponsored Idd Amini against Tanzania?
Huko shuleni ulienda kusoma ujinga..Soma vizuri nilichoandika au kasome ujinga tena
 
Rais Museveni akikumbushia harakati zake za ukombozi wa Uganda, alieleza namna alivyosafiri hadi Libya kuonana ns Gadafi na kumuomba silaha ili kusaidia kwenye vita yake ya msituni. Anasema kuwa Ghadafi alimpa bunduki za kutoshelza Battalion nzima. Na hii.ichangia pakubwa kuisaidia movement yake.

Ikumbukwe, Museveni pia alisaidiwa na Tanzania ktk angle nyingi ikiwemo kimbilio na hifadhi yake na wapiganaji wake.

Gadafi alisaidia movement nyingi za kiuanamapinduzi ndani ya Afrika ikiwemo ANC ya Afrika ya kusini.

Unaweza kumsikiliza hapa

Alimsaidi Idd Amin dhidi yetu, alileta vifaa na wanajeshi wake,
 
Kuwa mstaarabu. Matusi sio mazuri kwa great thinker. Vinginevyo utazidi kuonekana maku mbele ya umati wa waungwana.
Nishaku ignore aisee pita kushoto.
Kama ulikua we mstaarabu usingeanza kunitusi.
Nishaku ignore.
 
Sawa ila point kuu Palestinian authority haijawahi kumsaidia Amini.

Baadhi ya wapalestina sio Palestinian authority mkuu.
Soma zaidi.. walipitishwa na authority kinyemela..Authority iliwapitisha officially but haikuweka wazi ndo maana tunasema kinyemela..
 
Pia Gadafi alimsaidia Idi Amin dhidi ya Tanzania.
 
Iddi amini si alikuwa anafadhiliwa na wapalestina? Kumbe Ghadafi naye anafadhili M7?

Mbwa akala Mbwa
Ghafafi alikuwa malaya alipooa mtoto.wa mfalme mmojawapo wa Uganda nduguye na Museveni. Kaka yake Museveni wa kuzaliwa alibadili dini na si mwingine ni Brigadia Generali Salim.Ali ambaye alikuwa mkuu wa majeshi ya uganda pia baadaye

Hivyo inasemwa damu nzito kuliko maji .Hivyo mashemeji walipoomba silaha kupitia shemeji aliyesilimu Salim Ali wakapewa silaha na kupitia mwislamu mpya huyo mtu wao muislamu dini yetu ya Gaddafi misikiti ikaruhusu silaha kuwekwa misikitini

Siasa ina mambo mengi ujanja ,utapeli nk
 
Gadafi alituma ndege na silaha vita ya Kagera kuipiga Tanzania. Gadafi was the enemy to us, nashangaa wanavyompamba
Mgogoro wetu na gadaffi uliisha na fidia gadafi aliamua kujenga msikiti mkubwa dodoma kama asante kwa kuwaachia huru bila masharti mateka wanajeshi wake wa libya tuliowateka.
 
Soma zaidi.. walipitishwa na authority kinyemela..Authority iliwapitisha officially but haikuweka wazi ndo maana tunasema kinyemela..
Niliposoma mimi PLO haikuhusika.
Ila nitatafuta unaposema wewe kuwa PLO imehusika.
 
Yeye Gaddafi ukimuomba msaada wa silaha hata uwe peke yako unataka kupindua serikali anakupa tu

I wish angekuwepo mpaka leo
Yaani alikuwa haijalishi wewe nani 😂
 
kuna watu wanamuona gadafi ni kama shujaa ila yule jamaa kila sehemu iliyokuwa na migogoro ilikuwa na mkono wake
Yaani nilikuwa namshangaa sana
Ukimuomba tu silaha ukamwambia niko msituni anakupa
 
Back
Top Bottom