Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
- Thread starter
-
- #21
Political Asylum kwa wanajeshi na waasi?.gani inaambatana na mafunzo ya kijeshi?Political Asylum ni haki ya msingi sio uchokozi
Kuna kipindi hata viongozi wetu wa kisiasa hata CHADEMA walienda kuomba political asylum. Je waliua nani?
Hata wewe unaweza omba political asylum popote pale
Labda kwa vile alijenga misikiti!Gadafi alituma ndege na silaha vita ya Kagera kuipiga Tanzania. Gadafi was the enemy to us, nashangaa wanavyompamba
Pia akitoa silaha kwa Idd amin Dada kupiga Tanzania akishirikiana na PalestineRais Museveni akikumbushia harakati zake za ukombozi wa Uganda, alieleza namna alivyosafiri hadi Libya kuonana ns Ghadafi na kumuomba silaha ili kusaidia kwenye vita yake ya msituni. Anasema kuwa Ghadafi alimpa bunduki za kutoshelza Battalion nzima. Na hii.ichangia pakubwa kuisaidia movement yake.
Ikumbukwe, Museveni pia alisaidiwa na Tanzania ktk angle nyingi ikiwemo kimbilio na hifadhi yake na wapiganaji wake.
Ghadafi alisaidia movement nyingi za kiuanamapinduzi ndani ya Afrika ikiwemo ANC ya Sfrika ya kusini.
Unaweza kumsikiliza hapa
View: https://youtu.be/lbfv530sAEY?si=vjft3lUCKSf3nLY3
Pia akitoa silaha kwa Idd amin Dada kupiga Tanzania akishirikiana na Palestine
pumbaNyerere ndo alikuwa anafadhili hadi waasi huko Nigeria. Waasi wa Biafra.
Wanigeria walileta Askari kuistabilize serikali yake iliyonusurika kupinduliwa na Askari mwaka 1964, Shukrani yake kwa Nigeria ikawa kusapoti waasi waliotaka kujitenga wa Biafra miaka michache baadae.
Mtu mweusi kila kitu anamsingizia Western. Western hivi, Western that.Hii vita ya kagera nina imani kuna vitu vingi vimefichwa nyuma ya panzia, maan ukiangalia waganda jinsi wanavyomsifu rais idd Amin kwamba ndo best president ever kuwahi kutokea uganda .wanadai mambo ya udikteta wake ni propaganda kutoka western countries
Palestina haijawahi kumfadhili Iddi Amini.Iddi amini si alikuwa anafadhiliwa na wapalestina? Kumbe Ghadafi naye anafadhili M7?
Mbwa akala Mbwa
Si ndio fadhila zenyewe ... kufadhili ==>> fadhilaPalestina haijawahi kumfadhili Iddi Amini.
Kuna wapiganaji tu wa kipalestina baadhi walipigana pamoja na Iddi Amini.
unavyodanganywa kwenye vijiwe vya kahawa.Ghadafi alikua mtu smart sana, hata makosa mengi aliyoyafanya ni kwasababu ya msukumo wa ndani unaotokana na itikad za Kiislam. Kwake Amin alikua ndugu katika iman na huo ndo ujinga wa Ghadafi.
| Nchi / Kundi | Maelezo ya Uhusiano au Ufadhili |
|---|---|
| Chad | Vita ya Aouzou Strip (1980s); alisaidia waasi wa FROLINAT dhidi ya serikali. |
| Liberia | Alihusika kumfadhili Charles Taylor, ambaye alianzisha vita vya kikatili vya wenyewe kwa wenyewe. |
| Sierra Leone | Kupitia Charles Taylor, alihusishwa na RUF waliotekeleza mauaji na ukataji wa viungo. |
| Sudan (Darfur) | Alitoa msaada kwa baadhi ya makundi ya waasi (hasa Janjaweed kwa kipindi fulani). |
| Uganda | Aliunga mkono Idi Amin na alitoa misaada ya kijeshi na fedha. |
| Ethiopia & Eritrea | Alijaribu kuingilia migogoro yao kwa misingi ya sera za Pan-Africanism. |
| Burkina Faso | Alikuwa karibu na Thomas Sankara, kisha baada ya kuuawa, alisaidia Blaise Compaoré aliyempindua. |
| Zaire (DRC ya sasa) | Alishirikiana na Mobutu kwa muda, lakini baadaye aliwasaidia wapinzani wake. |
| Niger & Mali | Aliwasaidia Watu wa Tuareg katika harakati zao za uhuru (ambazo zilipelekea vita). |
| Nchi / Kundi | Maelezo |
|---|---|
| Ireland (IRA) | Alitoa silaha kwa Irish Republican Army (IRA) mapema miaka ya 1970-1980. |
| Palestine (PLO) | Aliunga mkono Yasser Arafat, kisha baadaye akawageukia kwa ukosoaji. |
| Lebanon | Alishutumiwa kwa kuchochea baadhi ya makundi ya Kiislamu katika vita vya wenyewe kwa wenyewe. |
| Syria | Mara kadhaa aliwahi kuungana na Assad dhidi ya Marekani, lakini pia walihitilafiana. |
| Iran | Alionyesha uungaji mkono kwa Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, lakini uhusiano ulidorora. |
| Nchi / Kundi | Maelezo |
|---|---|
| Venezuela | Alikuwa na uhusiano wa karibu na Hugo Chávez, walishirikiana kwenye siasa dhidi ya Marekani. |
| Cuba | Alikuwa mshirika wa Fidel Castro, hasa katika muktadha wa mapambano dhidi ya ukoloni mamboleo. |
| Filipino Muslim Rebels (MILF/MNLF) | Aliwahi kusaidia kwa mafunzo na fedha. |
| Revolutionary groups duniani | Gaddafi alianzisha kitu alichokiita “World Revolutionary Center” kwa ajili ya kufundisha waasi kutoka mataifa ya dunia ya tatu. |
Huo ulikuwa ni mgogoro wetu na uganda yeye Gadafi ukilanja alipewa na nani mpk umuone alistahili kukuchangia?Bongo tulikuwa wakorofi na wachokozi sana. Kwa nini tulikuwa tunatunza waasi dhidi ya serikali ya Uganda nchini mwetu?
Huo ulikuwa ni mgogoro wetu na uganda yeye Gadafi ukilanja alipewa na nani mpk umuone alistahili kukuchangia?
Duuhunavyodanganywa kwenye vijiwe vya kahawa.
ORODHA PANANA YA NCHI, MAKUNDI AU MIGOGORO AMBAYO GADDAFI ALIHUSIKA KWA NJIA YA UFADHILI AU KUCHOCHEA
🌍 Afrika
Nchi / Kundi Maelezo ya Uhusiano au Ufadhili Chad Vita ya Aouzou Strip (1980s); alisaidia waasi wa FROLINAT dhidi ya serikali. Liberia Alihusika kumfadhili Charles Taylor, ambaye alianzisha vita vya kikatili vya wenyewe kwa wenyewe. Sierra Leone Kupitia Charles Taylor, alihusishwa na RUF waliotekeleza mauaji na ukataji wa viungo. Sudan (Darfur) Alitoa msaada kwa baadhi ya makundi ya waasi (hasa Janjaweed kwa kipindi fulani). Uganda Aliunga mkono Idi Amin na alitoa misaada ya kijeshi na fedha. Ethiopia & Eritrea Alijaribu kuingilia migogoro yao kwa misingi ya sera za Pan-Africanism. Burkina Faso Alikuwa karibu na Thomas Sankara, kisha baada ya kuuawa, alisaidia Blaise Compaoré aliyempindua. Zaire (DRC ya sasa) Alishirikiana na Mobutu kwa muda, lakini baadaye aliwasaidia wapinzani wake. Niger & Mali Aliwasaidia Watu wa Tuareg katika harakati zao za uhuru (ambazo zilipelekea vita). 🌍 Ulaya & Mashariki ya Kati
Nchi / Kundi Maelezo Ireland (IRA) Alitoa silaha kwa Irish Republican Army (IRA) mapema miaka ya 1970-1980. Palestine (PLO) Aliunga mkono Yasser Arafat, kisha baadaye akawageukia kwa ukosoaji. Lebanon Alishutumiwa kwa kuchochea baadhi ya makundi ya Kiislamu katika vita vya wenyewe kwa wenyewe. Syria Mara kadhaa aliwahi kuungana na Assad dhidi ya Marekani, lakini pia walihitilafiana. Iran Alionyesha uungaji mkono kwa Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, lakini uhusiano ulidorora. 🌍 Kwingineko (Global)
Nchi / Kundi Maelezo Venezuela Alikuwa na uhusiano wa karibu na Hugo Chávez, walishirikiana kwenye siasa dhidi ya Marekani. Cuba Alikuwa mshirika wa Fidel Castro, hasa katika muktadha wa mapambano dhidi ya ukoloni mamboleo. Filipino Muslim Rebels (MILF/MNLF) Aliwahi kusaidia kwa mafunzo na fedha. Revolutionary groups duniani Gaddafi alianzisha kitu alichokiita “World Revolutionary Center” kwa ajili ya kufundisha waasi kutoka mataifa ya dunia ya tatu.
Basi Museveni karithi huko mpaka USA walitamka wazi siasa zake hawazielewi. Sudan zote nazo kakita mizizi.Hahaha......Jamaa alikuwa kama.... anapiga huku na kule