Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,051
Uhai wa mwanadamu ni kitu kidogo mbele ya kitu kinaitwa amani. Hata biblia inatambua hilo.Hakuna kitu cha kufananisha na roho ya binadamu. Mtu akimuua mama au baba yako halafu akujengee msikiti utakubali?
Nimekuuliza swali hujajibu.Uhai wa mwanadamu ni kitu kidogo mbele ya kitu kinaitwa amani. Hata biblia inatambua hilo.
Kwa hiyo unaona sawa alistahili kukuchangia kukupiga au wewe ni team Arab for any circumstances?!
Huko shuleni ulienda kusoma ujinga..Soma vizuri nilichoandika au kasome ujinga tenaUnafahamu maana ya kufadhili mkuu?
Sponsoring?
Lini Palestine authority sponsored Idd Amini against Tanzania?
Alimsaidi Idd Amin dhidi yetu, alileta vifaa na wanajeshi wake,Rais Museveni akikumbushia harakati zake za ukombozi wa Uganda, alieleza namna alivyosafiri hadi Libya kuonana ns Gadafi na kumuomba silaha ili kusaidia kwenye vita yake ya msituni. Anasema kuwa Ghadafi alimpa bunduki za kutoshelza Battalion nzima. Na hii.ichangia pakubwa kuisaidia movement yake.
Ikumbukwe, Museveni pia alisaidiwa na Tanzania ktk angle nyingi ikiwemo kimbilio na hifadhi yake na wapiganaji wake.
Gadafi alisaidia movement nyingi za kiuanamapinduzi ndani ya Afrika ikiwemo ANC ya Afrika ya kusini.
Unaweza kumsikiliza hapa
Wapalestina walimsaidia Idd Amin dhidi yetu.Palestina haijawahi kumfadhili Iddi Amini.
Kuna wapiganaji tu wa kipalestina baadhi walipigana pamoja na Iddi Amini.
Tulikuwa wachokozi, mtu akikuchokoza ukaomba msaada kwa msamaria mwema, basi yule msamaria mwema hana lawamaAlimsaidi Idd Amin dhidi yetu, alileta vifaa na wanajeshi wake,
FUTA kauli yako hii, umeandiika upumbavu, usiandike kitu ambacho huna uhakika nacho.Bongo tulianza uchokozi toka 1972.
Jiulize baba yake Hanspope, askari, alikamatwa ndani ya Uganda na kuuawa, alienda kufanya nini huko?
Wewe ndo umekaririshwa propagandaFUTA kauli yako hii, umeandiika upumbavu, usiandike kitu ambacho huna uhakika nacho.
Nishaku ignore aisee pita kushoto.Kuwa mstaarabu. Matusi sio mazuri kwa great thinker. Vinginevyo utazidi kuonekana maku mbele ya umati wa waungwana.
Sawa ila point kuu Palestinian authority haijawahi kumsaidia Amini.Huko shuleni ulienda kusoma ujinga..Soma vizuri nilichoandika au kasome ujinga tena
Baadhi ya wapalestina sio Palestinian authority mkuu.Wapalestina walimsaidia Idd Amin dhidi yetu.
Soma zaidi.. walipitishwa na authority kinyemela..Authority iliwapitisha officially but haikuweka wazi ndo maana tunasema kinyemela..Sawa ila point kuu Palestinian authority haijawahi kumsaidia Amini.
Baadhi ya wapalestina sio Palestinian authority mkuu.
Ghafafi alikuwa malaya alipooa mtoto.wa mfalme mmojawapo wa Uganda nduguye na Museveni. Kaka yake Museveni wa kuzaliwa alibadili dini na si mwingine ni Brigadia Generali Salim.Ali ambaye alikuwa mkuu wa majeshi ya uganda pia baadayeIddi amini si alikuwa anafadhiliwa na wapalestina? Kumbe Ghadafi naye anafadhili M7?
Mbwa akala Mbwa
Mgogoro wetu na gadaffi uliisha na fidia gadafi aliamua kujenga msikiti mkubwa dodoma kama asante kwa kuwaachia huru bila masharti mateka wanajeshi wake wa libya tuliowateka.Gadafi alituma ndege na silaha vita ya Kagera kuipiga Tanzania. Gadafi was the enemy to us, nashangaa wanavyompamba
Niliposoma mimi PLO haikuhusika.Soma zaidi.. walipitishwa na authority kinyemela..Authority iliwapitisha officially but haikuweka wazi ndo maana tunasema kinyemela..
Yaani nilikuwa namshangaa sanakuna watu wanamuona gadafi ni kama shujaa ila yule jamaa kila sehemu iliyokuwa na migogoro ilikuwa na mkono wake