Analitia njia ile ile aliyopita meko. Juzi alitangaza kuomba korona ipotee
Ndiyo ukweli wenyewe ukiacha propaganda.Why africa mashariki viongozi wakiumwa wapelekwa nairobi..
Je huko ndipo kuna hospital bora sana kuliko za nchi zao?
Yale yale ya Col. Muammar GhadafiPole yake Kaguta Yoweri
Ila anataka mwanaye amrithi eeeh, dhambi hiyo mbaya sana kwa Waganda
Ndiyo ukweli wenyewe ukiacha propaganda.
Why africa mashariki viongozi wakiumwa wapelekwa nairobi..
Je huko ndipo kuna hospital bora sana kuliko za nchi zao?
Kwanini Hawajenga hospital nzuri kwao?