Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
Mugumo is considered a Sacred Tree in the whole world,but people this days wanaikata ovyoovyo!!! Wherever they Grow they connect the Dots to the whole world,Hio mti ilikuwa inatumiwa Kama Shrine Kama vile Kanisa,Kulipotokea Mkasa mbaya watu walitangamana kwa Miti hiyo Africa Mzima na kumuomba Mungu awapee Suluhu,Tafadhali watu wasikate Mugumo Mungu anakasirika,Turudi Tulipotoka na Mapema mambo yasikiwe mabaya kabisa,mf, India wanakufa wengi sai kwa magonjwa mengi tatanishi,Moja ikiwa ni Coronavirus,India wamajaribu kumwomba Mungu wao amabaye ana Kichwa ya Ndovu wakiogelea majini Ni Kama kubatiswa,Lakini haiwasaidii!!! Africa Turudi kuomba Chini ya Milima na Mugumo na Janga hili litaisha kabisa🔥🔥 Yani aliyesikia hii Tafadhali sambazeni injili Tafadhali na musione aibu na Dini yenu na Mungu Atawabariki,Wacoloni Ndio walitufanya tuaibike na Dini zetu kwa kutuambia ni uovu😬🙏