Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Iko hivi :
Kama siku za kuishi hapa duniani kwa Museven zimeisha basi atakufa tu iwe ni covid-19 third wave au whatever, death is inevitable.
Swali la kujiuliza ni kwanini viongozi wa Africa wakiugua hukimbilia kutibiwa nje ya nchi zao?