Museveni is very ill and admitted in a hospital here in Nairobi

Museveni is very ill and admitted in a hospital here in Nairobi

Status
Not open for further replies.
Oh noo.,

hata Hayati ilianza hivihivi...

rumour had it..then it wasn't rumours anymore
 
Ina maana M7 pamoja na udikiteta wake hana hospital yenye hadhi ya kumtibu nchini kwake.Unakaa madarakani miaka 40 ukiugua ghafla unaanza kukimbilia nje. Utawala wake hauna maana.
Anaogopa kufanyiwa hujuma mkuu.
 
Ina maana M7 pamoja na udikiteta wake hana hospital yenye hadhi ya kumtibu nchini kwake.Unakaa madarakani miaka 40 ukiugua ghafla unaanza kukimbilia nje. Utawala wake hauna maana.

Huko anao maadui kibao, hiyo ndio hofu yake.
 
Kwan ile chanjo alio chanjwa ina semaje
Hiyo chanjo imemfanya aumwe...wazungu bwana washenzi...ngoja watu waliochanjwa waendelee kutokomea...utasikia yatakayotokea huko Rwanda, Kenya na Uganda...wait and watch ...in six months from utasikia Mambo...
 
Screenshot_20210627-190224.jpg
 
Akili ndogo ndizo zinazo amini taarifa za vijiweni zisizo na uthibitisho,great minds do not do that.
Wakenya sio Watanzania wa kusikiza taarifa za vijiweni. Our journalists are professionals. Ndio maana tulipowaambia rais wenu amekufa, wanahabari wenu walikuwa wakisema yuko salama na wa afya - mkaamini wanahabari wenu. Hivi kati ya taarifa za wanahabari wa Kenya na Tanzania na wagani walioprove kuwa wa vijiweni?
 
Kuna tetesi Uganda kwamba mseveni anaumwa na haonekani hatharani kwa wiki sasa

Hizi habari ni kweli au uongo kuna watu wapo Uganda humu watuambie ukweli

Maana hata Nkurunzinza na Magufuli mambo yalianza hivihivi

Na mkumbuke wimbi la kwanza la corona liliondoka na Nkurunzinza wimbi la pili likaondoka na Magufuli na sasa ni wimbi la tatu je?

Mzee yupo wapi mzee mseveni?
View attachment 1832540View attachment 1832542
 
Kuna tetesi Uganda kwamba mseveni anaumwa na haonekani hatharani kwa wiki sasa

Hizi habari ni kweli au uongo kuna watu wapo Uganda humu watuambie ukweli

Maana hata Nkurunzinza na Magufuli mambo yalianza hivihivi

Na mkumbuke wimbi la kwanza la corona liliondoka na Nkurunzinza wimbi la pili likaondoka na Magufuli na sasa ni wimbi la tatu je?

Mzee yupo wapi mzee mseveni?
Kwani museven mwenyewe anasemaje labda??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom