Ongeza na dompo kwa bili yanguSawa mkuu
THIBITISHA TUKU FOLLOW😷Sidhani kama corona ni ugonjwa..pengine ni mianzi wanapigwa watu wanashindwa kupumua na wanakufa...
Corona sio ugonjwa tunafumbwa tu..
Boss. We were here all through and Tanzanians were agreeing with their journalists all through. Unataka kukana kitu kilicho wazi?Aliyekuambia tuliwaamini wana habari wetu ni
nani,we didn't, we knew something was wrong.
Anyway mngekuwa smart msingekubali the so called chanjo ya C-19?Subirini kitakachotokea within a span of 3yrs,mtapukutika kama Quelea Quelea waliopuliziwa dawa.
[emoji23] [emoji23] mkuu kweli ulikuwa humpendi dikiteta kama mm.Ahahahahaha.
Muda wa kunyofolewa roho wapumbavu ni sasa.
Mmoja ashaoza, kazikwa juzi tu lakini utadhani kafa 30 years ago.
Ili iwejeTumuombee apone haraka...
Acha chuki...Ili iweje
Yeye si amechanjwa? ataumwaje tena na barakoa anavaa?Kuna tetesi Uganda kwamba mseveni anaumwa na haonekani hatharani kwa wiki sasa
Hizi habari ni kweli au uongo kuna watu wapo Uganda humu watuambie ukweli...
Ni mara ngapi serikali yenu ilikana madai kwamba Magufuli alikuwa anaugua na kaletwa kenya kwa matibabu? Je, ni mara ngapi serikali yenu iliwahadaa kwamb alikuwa shwari na kwamba 'anachapa kazi'? Umesahau maneno ya waziri wenu mkuu?
Hehehe nawaza tu sababu naona kama vifo vyake hupangwa...THIBITISHA TUKU FOLLOW😷
Nini kimetokea?TTUENDELEE KUJILINDA NA KUTUBU KWA AJILI YA NCHI YETU FAMILIA YETU VIONGOZI WETU NA WOTE
USIACHEKULALA BILA.KUIOMBEA TANZANIA MPENDWA
MAUMIVU YA COVID MI MAZITO NA MAGUMU KINACHOFWATA A MUNGU ATUREHEMU ATUSAMEHE AFRICA OMBEA BARA LEOTU LA AFRICA
Tubuu kwa ajilii ya Bara zima la Africa
MUNGU asamehe dhambi zettu ATUREHEMU tulipomwacha
TAARIFA NILIOSIKIA JIRANI HUKO HALI SI NZURI SANA LEO KUNA MAUMIVI YAMEWAANGUKIA TUSUBIRI WASEMAJI HUSIKA
MUNGU AZIDI KUWATIA NGUVU WOTE
Rais mtarajiwa mrithishwa naambiwa tayari kovido imempiga mtamaTTUENDELEE KUJILINDA NA KUTUBU KWA AJILI YA NCHI YETU FAMILIA YETU VIONGOZI WETU NA WOTE
USIACHEKULALA BILA.KUIOMBEA TANZANIA MPENDWA
MAUMIVU YA COVID MI MAZITO NA MAGUMU KINACHOFWATA A MUNGU ATUREHEMU ATUSAMEHE AFRICA OMBEA BARA LEOTU LA AFRICA
Tubuu kwa ajilii ya Bara zima la Africa
MUNGU asamehe dhambi zettu ATUREHEMU tulipomwacha
TAARIFA NILIOSIKIA JIRANI HUKO HALI SI NZURI SANA LEO KUNA MAUMIVI YAMEWAANGUKIA TUSUBIRI WASEMAJI HUSIKA
MUNGU AZIDI KUWATIA NGUVU WOTE
Huyu hakupata hata huo mudaAungamaye dhambi zake atasamehewa
Azifichayee dhambi zakee ataangamia
Umeambiwa na nani?Rais mtarajiwa mrithishwa naambiwa tayari kovido imempiga mtama
Radio mbao za mitandaoniUmeambiwa na nani?