Museveni is very ill and admitted in a hospital here in Nairobi

Museveni is very ill and admitted in a hospital here in Nairobi

Status
Not open for further replies.
Hapa tutaweka rekodi sawa ndugu zangu wanaJF.
hii ni thread muhimu ya tafakari.

"Museveni yuko busy na mafaili, siyo mtu wa kuzurura zurura mitaani." Alisikika mheshimiwa huyo kwa kujiamini.

IMG_20210627_215142_454.jpg


"Museveni yuko vizuri amepiga hata simu ametuma salamu. Hata hivyo anachekiwa chekiwa vi mafua mafua tu vya kawaida." Amesisitiza makamu wake.

Huyu hawezi kuwa vibaya. Aliistukia hii ngoma mapema. Hajawahi tua barakoa hadharani na hata chanjo atakuwa keshapata.

Hata tall alishazushiwa (kama hakuzusha mwenyewe) kufa. Hata leo kaonekana na papaa Msofe mzima wa afya 😂😂😂😂!
 
Haijawahi kutokea na kamwe haitatokea
Jingalao tunakujua wewe mzee ni pro m7
Lazima uchanganyikiwe babu mwenzako anavuta muda si mrefu
Make my words
Ile irizi kaitoe haraka Sana
 
Kaishamuandaa mwanae
US Ally hao na marais wanane wamepita na Mzee bado wanamlinda tu
Kama mda wake umefika ni sawa tu kwani alilazimisha mabadiliko ya Rais kutokua na ukomo wa umri

Ila maisha ni mafupi sana
 
Waganda wanangojea muujiza kwa hamu kubwa. Mungu akawafnyie wepesi katika hili. Mapenzi yake yakatimie.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom