Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
1. Hofu ya kumaliziwa na maadui zaoIko hivi :
Kama siku za kuishi hapa duniani kwa Museven zimeisha basi atakufa tu iwe ni covid-19 third wave au whatever, death is inevitable.
Swali la kujiuliza ni kwanini viongozi wa Africa wakiugua hukimbilia kutibiwa nje ya nchi zao?
Mh binadamu yeyote anaweza umwa wasifiche, lasivyo ajitokeze hadharani
Why are you getting agitated, are you the one who's been taken ill. Just check the twitter feedsMnapenda fake news kuliko kupambana na njaa inayowatandika kila mwaka.
Hivi huwa mnashindwa kuverify news kabla ya kufungulia uzi?
View attachment 1831981
Why africa mashariki viongozi wakiumwa wapelekwa nairobi..
Je huko ndipo kuna hospital bora sana kuliko za nchi zao?
Uko sahihi kabisa. This disease is a punishment to the incorrigible wicked, to a debased disobedient generation. And trust me, the worst is yet to come.Corona Virus Vaccine is just mare dreams,The Vaccines don't work,Museveni alikuwa amechanjwa na dawa best of the best Mbona haikumsaidia,India wanakufa Kama flies na wao Ndio wanaotengeneza Vaccines za Astrzeneca???? America wamechanjwa wengi Lakini Corona virus type ya Delta inaua watu kabisa ni Ile tu wanajifanya wanaishi kawaida!!!!South Africa wamechanjwa wengi na bado wenye wamechanjwa wanakufa!!!Huu Ni ugonjwa wa kupunish sinners,Holywar,Tuishi kwa maombi Jameni,na mjihadhari kabisa
Hiyo picha imepigwa tarehe tano June pale Kyambogo University Uganda wacha ujinga.Why are you getting agitated, are you the one who's been taken ill. Just check the twitter feeds
Ni ngumu yule mzee kupona kama kweli anaumwa. Ila namuombea apone.Madikteta watapata TABU sana UVIKO unarahisisha MAMBO.
Just let him be si you know His Gang Ssk Gang hawaamini Corona ipo waliambiwa na Mwendazake hivo,Sasa kila mkasa wa Corona ukitokea yeye na Gang yake watasema ni Uongo,si walisema pia ya mwendazake ilikuwa Uongo🤔Tafakari hayoWhy are you getting agitated, are you the one who's been taken ill. Just check the twitter feeds
Bado yule tolu mento wake na mwendakuzimu.Madikteta watapata TABU sana UVIKO unarahisisha MAMBO.
Usalama au itifaki.Why africa mashariki viongozi wakiumwa wapelekwa nairobi..
Je huko ndipo kuna hospital bora sana kuliko za nchi zao?
Zipo. Mbona hata jiwe alipelekwa huko.kuna sababuIna maana M7 pamoja na udikiteta wake hana hospital yenye hadhi ya kumtibu nchini kwake.Unakaa madarakani miaka 40 ukiugua ghafla unaanza kukimbilia nje. Utawala wake hauna maana.
Hiyo picha imepigwa tarehe tano June pale Kyambogo University Uganda wacha ujinga.
Very true👌If Vaccines are not the solution,Africa Mzima inafaa wakutane kwa Mugumo Tree Waombe Mungu msamaha mpaka Nguo ziwatoke,Kama ambavyo watu wazamani walifanya,wakifanya hivyo Naona Kama Haya Mikasa Mungu atatuondolea🙏NaaminiUko sahihi kabisa. This disease is a punishment to the incorrigible wicked, to a debased disobedient generation. And trust me, the worst is yet to come.
People should repent and turn to their creator or else many will perish.
Ngoja nikutandike na kitu kizito kwanza.Hizi hasira kapambane na Waganda wanaosherekea kwenye mitandao kuhusu hizi tetesi, wanatamani sana iwe kweli, aisei madikteta hii corona imeamua kulala nao mbele...