Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Bado serikali ya Mh. wa Kukenua na P.M wake wa Kulialia hovyo.
Serikali yangu viongozi wake vituko kweli.Mmoja kazi yake kuchekacheka kila wakati, Makamu wake muda wote kanuna, P.M yeye Analia kila wakati na kushindwa kuzuia kauli mbaya, kwenye Baraza, wafoji vyeti wamejaa tele!Unategemea wataweza kuiga ya Mugabe na Mu7?
Kwani ushoga kauleta JK? Si ni kiherehere cha wachache wanaotaka sasa iweje yeye abebe lawama. Hata hiyo sheria huko Uganda usitegemee hiyo sheria kuondoa ushoga!Hafu acheni kuilaumu serikali kwa mambo ambayo hayana msingi. Mfano wewe mwanao akiacha kusoma shule kwa makusudi utamlaumu JK au Pinda?
Aliulizwa swali kuhusu ushoga na Amanpour wa CNN akawa anajichekeshachekesha tu!
Mimi nakubaliana na Kikwete, ni suala la muda tu, maana hata kwenye suala la haki sawa na wanawake mliona ni kitu cha ajabu, lakini sasa mnaona ni haki.Ni bora alivyowajibu, ukweli ni kuwa mashoga Tanzania wapo hivyo wenye lawama ni jamii yenyewe haswa wazazi. Iweje wewe uzae mtoto akiwa rijali hafu akue awe shoga? Wazazi wanashindaje kufauatilia mienendo ya watoto wao? Hapo tunataka kuilaumu serikali?
Museveni Leo amesaini sheria Mpya ya kuutokomeza kabisa ushoga nchini Uganda, kwa hili nakusifu Sana mdogo wa Mugabe! Tanzania tujifunze kupitia wenzetu!! Say no to anal sex
teh....teh....teh.....teh.....teh..... mimi bado sina jibu la moja kwa moja kwa sababu nafahamu kuwa wazungu ni watu wenye akili sana, sasa ni kwa nini wanahamasisha jambo hili bado najiuliza, lakini pia nafahamu kuwa kuna wanawake ukipiga nao mechi wanakupa na upande wa pili ndiyo wanaridhika, na kuna wanaume wapo tayari hata kuhonga pesa ili wakaliwe tigo, tena wengine ni matajiri, wengine ni wasomi, wengine ni watu wenye madaraka makubwa wengine ni watu wenye nguvu ambao huwezi kusema wameonewa. kwa hiyo mimi naona kwa maoni yangu hawa tuwachukulie kama walemavu, naomba sana nisionekane kama na mimi ni mdau bali tuone hii kama ni changamoto, kwa sababu mimi nimewahi kushuhudia mke wa mtu anatoka nje ili akaliwe tigo sababu tu mume wake haelewi kitu hata kama akiwekewa.
Amesema anus is not engineered for sex, sawa.
How about the mouth!?, is it engineered for sex?
Watu siku hizi wanafanya mapenzi ya mdomo, mtu anaweka uume mdomoni mwa partiner wake hadi anafika mshindo, na hawa nao wafungwe maisha jela?
Ofcourse vitu vingine ni ushamba tu na ujinga, but Mseven is no body's fool, Kama Mugabe, naye ameshasoma saikolojia ya waafrika, pinga ushoga, piga marufuku nguo fupi, you win Africans, ni matumaini yangu kuwa hili litamsaidia sana Museven kurejea madarakani tena,
Baada ya muhula kuisha tutawauliza waganda kufunga mashoga kumewatatulia matatizo yao ya kukithiri kwa umasikini, mfumuko wa bei,
na ukosefu wa huduma bora za afya na elimu.
Haki zako sawa na wanawake zipi???!!!!Mimi nakubaliana na Kikwete, ni suala la muda tu, maana hata kwenye suala la haki sawa na wanawake mliona ni kitu cha ajabu, lakini sasa mnaona ni haki.
Ndiyo!!,Kwa hiyo angekubaliana na ushoga ndio umasikini ungeisha,mfumuko wa bei ungepungua,huduma za afya na elimu zingeboreka????!!!!!
Sikujua kama mashoga wako wengi kiasi hiki!!!!!!!
Nilimaanisha "women empowerment", africans waliona ni kitu cha ajabu sana, lakini sasa hivi akina OLESAIDIMU wakiambiwa haki za wanawake wala hawashtuki, hata ushoga ni hivyo, its just a matter of time.Haki zako sawa na wanawake zipi???!!!!
Kwa hiyo unasubiri muda "haki" zitambuliwe au???!!!!
Usilalamike sana wakati unasubiri muda nenda ambako tayari zinatambuliwa!!!!!
Ndiyo!!,
Badala ya kusaini sheria ya kufunga jela maisha watu walioamua kutumia viungo vyao vya nyuma kujistarehesha,
angesaini sheria ya kifungo cha maisha kwa wezi wa mali za umma na mafisadi, huduma za afya na elimu zingeimarika.