Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
You are the one who have a mental problem, hivi hakuna wanaume wa kiafrika wanaofanya mapenzi na wake zao kinyume na maumbile!?i hav one belief dat will neva change" africans who supports homosexuality have mental problem"
unahitaji msaada rafiki
Ndiyo!!,
Badala ya kusaini sheria ya kufunga jela maisha watu walioamua kutumia viungo vyao vya nyuma kujistarehesha,
angesaini sheria ya kifungo cha maisha kwa wezi wa mali za umma na mafisadi, huduma za afya na elimu zingeimarika.
Nikifanya kwa mdomo sijaharibu norms culture?, ni utamaduni wa Afrika ya wapi walikofanya oral sex?
Halafu umenisaidia, umesema kuna imani pia inakataza, kwa nini msicriminalise na hilo?
Ok, umesema hata kamaviongozi waafrika mengi wameshindwa, sasa wameweza hilo!!, Mimi shida yangu sio wao kuweza hilo bali ni kulipa kipaumbele hilo na kulitungia kali, kana kwamba ndio tatizo kuu linalosababisha matatizo ya waafrika, wameacha kushughulikia matatizo ya msingi ya nchi zetu, oddly enough, tunawaona ni mashujaa, ndio maana nauli, kuna nini special katika ushoga kiasi kwamba kiongozi akipinga tu, tuko radhi hata atutawale milee, kama ilivyo kwa Mugabe na Museven!?, sheria ya ushoga italeta vifaa mahospitalini kwa mfano!??
Mimi mtu akiita shoga sioni kama ameni offend mno, akisema anataka kufanya na mimi kinyume cha maumbile nitamwambie sifanyagi huo mchezo, hamna ngumi wala matusi, kama ambavyo wewe unavyomuapproach demu mstaarabu anavyojibu tu kwamba hafanyi, very clear!!!,
Now ushoga kwako ni nini hadi uone ni "dili" mno!???
Teh teh teh!!!Huyu Msukuma mwenzangu Mjuni Lwambo Leo naona ananichanginyi Kweli Akili yng!
For this I salute you my president
Sijawahi sikia wala kuona sheria yeyote Uganda dhidi ya wabadhirifu na mafisadi, na hata kama zipo, hazipewi kipaumbele kama hawa mashoga, OLESAIDIMU , hivi ushoga ni nini hasa!?, hadi Museven anataka eti kupitisha adhabu ya kifo, can it dwell in your mind!?
Hii ni kana kwamba, kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni kitu kikubwa na cha ajabu mno ambacho hastahili hata kuishi akikifanya,
Hii inakuingia akilini??, huo mwili sio wa kwake??, nimeuliza swali hujajibu, mimi na partiner wangu tukiamua kufanya mapenzi ya mdomo tu (oral sex)tufungwe jela kwa sababu Museven amesema not engineered for sex!?
Viongozi wa Afrika wameshindwa kukomesha rushwa, ufisadi, ujangili na mambo mengine ya uhujumu, na wala hatujasikia wakiitisha press conference wakionyesha hasira zao na kusaini sheria kali dhidi wa vitu vya aina hiyo, nchi zinaendelea kutopea katika umasikini, eti kipaumbele chao ni kupambana na ushoga na nguo fupi, eti ndio viongozi bora!!
Mkuu mimi sio shoga, lakini mtu akiniita shoga hata mara mia nane hawezi kunioffend, ushoga kwangu ni sawa tu na uzinzi wa kawaida,
Mimi ninayefanya mapenzi ya kawaida na yule anayefanya kinyume na maumbile kama kuna moto wote tutaenda jehanamu, what is so special hadi niwe na hasira na shoga hadi nitamani kumuua?, pitisheni basi hata mtu akifanya mapenzi nje ya ndoa au kabla ya ndoa naye auliwe, au hiyo ni maadili ya kiafrika!??
Yaani Uganda kuchezea mali ya umma haina adhabu? ??!!! Huyu Museveni aliyeichukua nchi kwa mtutu asiwe na sentence kwa makosa haya HAIWEZEKANI mkuu hata kwa fraction of a second!!!!
Mkuu dini zote hazitaki, mila za kiafrika hazitaki, watu wengi hawataki mfano soma komenti humu kama a random sample!!!!!!
Sio kitu cha ajabu tu ni laana kabisa!!!!!!
Wewe na mpenzi wako mkifanya kwa mdomo mnakuwa mmeharibu norm,belief, au nini katika culture???!! Imani moja kumbuka inakataza "oral sex" unajua hilo????!!!!!
Wameshindwa mengi lakini hili wameamua kuliweka kwenye rekodi kuwa waliweka sheria ya kukataa!!! Hata wewe una failures nyingi lakini umeweka bayana kuwa mdomo wako na makwapa hayatakaa yatoe harufu mbaya kwa mfano!!!!Au say huwezi mlisha mwanao bila kunawa mikono!!! Sasa nao hili wameliamulia kwa minajili hiyo!!!!
Mtu akikuita shoga utachukulia poa sawa; na vipi akikutaka kimapenzi yeye a play "role" ya kiume????!!!
Waganda wangeweza kutumia muda huu wa muswada wa ungese kujadili mambo ya maendeleo na kujipunguzia umaskini knowing kwamba 84% ya vijana wa Uganda hawana ajira. Sasa mijitu mizima ina diskas ungese mwezi mzima kutumia hela ya mlipa kodi. Why do african leaders address trivial issues instead of addressing poverty diseases education etc
Teh teh teh!!!
Bhebhe ngalu, abhamunthu bamulaga kutumila shindo jabho kwichima ubabulage bhole!!
Mkuu Ntuzu, wewe ni mristo kama sijakosea, hivi mafundisho ya ukristo yanasemaje kuhusu watenda dhambi wakiwemo mashoga?
Yanasema uwafunge jela au umuue??, Museven ameamua kuwaua(kuwafunga jela maisha), unamsupport?, tuanzie hapo Ntuzu.
Sheria za Mali za umma hakuna Uswis tu kwasababu kila Siku utasikia mabilioni ya Pesa viongozi wetu wameyaficha huko! Alafu hakuna ata sheria ya kuyarudisha huku!
Alafu tunaambiwa tuukubali ushoga! Vinginevyo wanakata misaada!
kuna kitu kimoja watu kama ww hamuelewi...leo hii obama akisema ufisadi ni halali.utakaa ndani usionyeshe msimamo wako jus bcoz kuna makosa mengine kama uongo...wizi...uzinzi havijaongelewa kwenye sheria??
response ya africans in relation to homosexuality imetokana na western pressure kuimpose iyo kitu
hakuna ambae angepoteza mda wake kuongelea ushoga kama kucngekua na pressure kutoka nchi za ulaya na marekan kusupport.
kama ww unaona haina umuhim wa nchi za kiafrika kukataza ushoga coz kuna mambo muhimu zaidi ya kufanya....sasa hao wanaosupoort kwa kutumia nguv nyingi na mda je kwao ushoga ndo jambo muhimu??kama si la muhim kwann waweke pressur kubwa hivyo??wat ar they gettin ebu jiulize kwanza
1. Sasa kaka kwenye jamii si kuna consesus na conventions ikiwa hilo la oral sex litasumbua jamii nalo litashughulikiwa tu wala sio exceptional, it can be criminalized when and if deemed necessary!!!!!!
2. Kulipa kipaumbele maana yake nini sasa???!!! Contrary hao wanaotishia kuharibu mahusiano mbona hawajahoji kwa nini hakuna dawa au elimu mbovu??!!Ni sababu wao ndio IMF na WB na wao hawako after "real" human emancipation no wonder wanataka na hilo pia liwe sehemu ya maisha!!!!!
3. Hivi Mugabe na Museveni baada ya kupitisha wametangazwa marais wa kudumu???!!!!!Point yako nini kusema wanaweza kutawala milele???!!!
4. Haileti vifaa hospitali ila itapunguza vitanda kulaliwa na watu wa rectal prolapse na matatizo kama hayo!!!!
Na UN ipo na inajua na haishinikizi hela hizo kurudishwa nchi husika pamoja na kutambua shida zetu!!!!!
Ati kwa ushoga ndio wananyanyua midomo!!!!!
Safi sana Museveni na Mugabe
How can he say that he wants the West to respect \African opinion and African stands when he starts his argument by saying that the reason for him to continue to criminalise homosexuality in Uganda is because the British had already done it? #SlaveMentality! EMT na Udadisi ningependa tudebate hili...
Unaposema hilo la oral sex linawezekana tu kutungiwa sheria ndipo sasa tunapotofautiana mno mimi na wewe.
Mimi ninaelewa kuwa private lives za watu hazitakiwi kutungiwa sheria, yaani kuna mambo hata kama yana madhara huwrzi kutungia sheria, kwa mfano, hata kama kuishi bila kuoa kutabainika kuna madhara huwezi kutunga sheria kwamba kila mtu lazima aoe.
Sasa, oral sex, anal sex na zingine ni staili tu za mapenzi ambazo they have nothing to with the public, unataka wake zetu wawe wanakaguliwa akikutwa nimemla tigo nikafungwe jela!??
Tukiendekeza vitu vya namna hii, basi inawezekana kabisa kupiga marufuku hata staili maarufu ya kihaya ya Kateerero, kisa eti imegundulika ina leta sana michubuko.
Mkuu, ni lini wewe umesikia kiongozi wa kiafrika amesaini sheria au amefanya kitu flani akakamata headlines kama hawa akina Mugabe na Museven kiasi cha wananchi kuandamana na mabango kuwapongeza!??, utasemaje kuwa waafrika hatujatoa priority kupambana na suala hili?, na pia utasemaje kuwa hawatatawala milele ili hali wamegeuka vipenzi vya wananchi wao na tayari wameshatangaza nia!!??
Who am I to judge the sexual orientation of other people?
Mkuu Kwani Obama atangaze Mara ngapi Kua hakuna sheria ya kuzuia ufisadi?
Km kungekua na sheria ya kuzuia ufisadi Obama asiwengeweza kusimama ktk mitambo tata ya Umeme pale ubungo! Leo hii Mzee mamvi utampeleka wapi?
Mwakiembe na Sita wameonekana waongo! Chezea Dolali weye?
naona unahama kwenye mada mkuu.....
pia kuna tofauti kat ya kuwepo kwa sheria na kupatikana na hatia!!
ufisadi upo tanzania hakuna anaekataa ila kuwepo kwa ufisadi haimaanishi hakuna sheria ya kupinga ufisadi.....sheria ipo lakini wanaohusika wana namna ya kuua ushahidi hivyo sheria inashindwa kufnya kaz yake.
Basi na ushonga wasiweke mkazo! Watulie tu!
kagame angekubali ushoga mara moja ili apate silaha kutoka america