Muslim University of Moro: Centre of Excellence!

Tumshukuru hayati Rais ,, BWM, Benjamin William Mkapa, kuwanyang'anya shirika la Tanesco chuo Chao pale Msanvu Morogoro na kuwapa waislam bure chuo kilichojengwa kwa Kodi na bill za umeme za watanzania wote mpaka wagalatia,,, na Mkapa alikuwa mgalatia safi ila hakuwa mdini.
 
Duuu we unajua kukera 🤣🤣🤣🤣
 
Daah....hiz comments hizi!!!
 
Ndiyo hiki Chuo Kikuu ambacho wanafunzi wake wanachapwa fimbo kama wanafunzi wa Primary?
 
Hakuna islamic banking kwenye Uislamu ni wizi tu kma bank nyengine
Usidanganyike.
. Uislam upo kwenye maisha yetu yote ya kila siku.

Uislam ni nfumo kamili wa maisha. Usidanganyike kuwa sijui hapa kuna Uislam hapa hakuna.

Ambavyo vinakatazwa kwenye Uislam vipo wazi kabisa, huwezi wewe kuleta makatazo mapya, labda ukawadanganye kijijini kwenu huko, kama hakuna wasomi.
 
Wewe bikira wa 72, wenzio Masunni huko washerehekea kuondoka kwa Mshia Nasrallah wewe je?

View: https://x.com/NiohBerg/status/1840005094609219957Tuliwaambia mkijichanganya tu, mnafutiliwa mbali mkabisha
Hayo yanahusiana nini na huu uzi? Nyuzi zake zipo kibao tu.

Hiyo ndiyo Islamophobia yenyewe. Ujinga tu umewajaa.

Msione neno Muislam au Uislam, nyoyo zenu zinawawaka moto. Tunawajuwa.
 
Weye kafiri tu lazima uwe na chuki na waislam
 
Mbona porojo nyingi we ajuza lete ushahidi wa islamic banking tu kma kweli ww umesoma
 
Wewe unayekataza ndiyo ulete ushahidi.
Mbona porojo nyingi we ajuza lete ushahidi wa islamic banking tu kma kweli ww umesoma
Nakupa elimu unaiita porojo?

Mimi Muislam, ushahidi wangu ni kuwa sikatazi kitu ambacho hakijakatazwa.

Wewe unaekataza ndiyo leta ushahidi.

Punguwani wahed.
 
Wewe. Unaekataza ndiyobukete ushahudibwa

Nakuoa elinu unaiita porojo?

Mimi Muislam, ushahidi wangu ninkuwa sikatazinkitu ambachonhakijakatazwa.

Wewe unaekataza ndiyo leta ushahidi.
Nakuoa ndo nn sasa embu jifunze kuandika vizuri kwanza miwani ishaisha lens iyo we ajuza

Kwenye Uislamu kuna baitul Mali wala hakuna islamic banking
Twambie iyo islamic banking ipo katika misingi ipi ya Uislamu?

Twende kielimu usilete porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…