Muslim University of Moro: Centre of Excellence!

Hivi hizi chuki dhidi ya waisilam zilizo jaa vifuani mwenu huwa zinatokana na nini hasa?
Mbona huku mitaani watu tunaishi vizuri kwa ushirikiano na upendo bila kujali dini zetu ?
Cha kushangaza zaidi waweza kuta una ndugu wa damu waisilam dah.
Quran haiongopi
 
Hii dunia ina watu wajinga wengi sana. Yaani chuo cha ugaidi eti kinatajwa hadharani kabisa!!
 
Sheikh ponda alisema hawawezi kupewa eneo na kafiri
 
Hivi wanaowaita Makafiri wanakubalika kusoma hapo chuoni ?
Je wapo ?
Kama wapo wanapitia hali gani hasa ?
Wanafaulu kweli ?
Au ndio wanaishia kufelishwa kusengenywa na kudhihakiwa ?
Na wenye Dini ya haki
 
Ni kwani mkapa alifanya hivi, je alifanya kwa hisani ya nani , haingii akili kabisa.
Know chukua mali za umma na kugeuza kuwa za Taasisi za keep dini
 
Haya ni matumizi mabaya ya neno UNIVERSITY
 
Ni kwani mkapa alifanya hivi, je alifanya kwa hisani ya nani , haingii akili kabisa.
Know chukua mali za umma na kugeuza kuwa za Taasisi za keep dini
Hawakuwa na chuo, wakalalamika. Wakati wagalatia wanajenga vyuo, wao wanajenga misikiti, Mkapa akaamua kuingia serikalini akalitia hasara Shirika la Tanesco akawapora chuo kilichokuwa kinatoa utaalam wa umeme, akawapa bure.
 
Mimi sioni jama kuna kosa! Mbona sisi Wakatoliki tuna RUCU (Ruaha Catholic University) Tuna SAUT, nk. Na ukienda kwenye hivyo vyuo, utakutana na wanafunzi wa imani tofauti.

Mimi nadhani utoaji wa elimu bora ndiyo muhimu zaidi kuliko jina la taasisi husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…