Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Duh yani anashindwa kutoa fungu ifungwe electric bell/alarm system hapo shuleni badala yake anapeleka rim ya lorry
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio Rim ya Canter ndio kengele ya kisasa 🤣🤣🤣?!Katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi , Jumuiya ya Wazazi CCM Musoma imetoa zawadi kabambe ya Kengele ya kisasa aina ya Rimu la gari , kwa ajili ya kutumika shuleni hapo .
Wazee hao wanaamini kwamba Wanafunzi wakisikia kengele hiyo watajua Kwamba serikali imeleta Maendeleo .
View attachment 2502651
Aibu Gani HiiTulilogwa zamani sana na dawa hakuna
Poleni sanaTulilogwa zamani sana na dawa hakuna
Mambo mengine ni aibu..
Inachefua
Niache NtesekeNdipo tulipofikia kama Taifa mkuu. Acha kabisa.
Swala hili sio la kujitangaza mitandaoni. .