Musoma: CCM yaizawadia Shule kengele ya Kisasa

Musoma: CCM yaizawadia Shule kengele ya Kisasa

Mwenyekiti Wa Ccm Taifa Hao Ndiyo Wabunge Wa Kuwakata Chap
Kukiondolea Chama Aibu!!
Hilo Rim La Gari Ambalo Ameliokota Ndiyo Msaada Kwa Shule

Ambapo Ukienda Vyuma Chakavu Wanaweza Kutoa Kengele Kila Darasa

Juu kunaweza kukawa kuzuri ila msingi ukawa hivyo kabisa, inakuwa ni mtihani mkuu.
 
Siasa za kijinga hizo wewe, hapo mwenyewe unajiona umeikomoa ccm
Kwani uongo CCM haijatoa zawadi ya rimu ya gari hapo shuleni! Sasa sijui headteacher atakuwa analifungia ofisini kwake kwa sababu watoto wa mjini lazima wasepe nalo na kuliuza kama chuma chakavu!
 
Najiuliza hivi vyuo vyetu nchini vya VETA na Technical Colleges au hata mafundi wetu mtaani wameshindwa kutengeneza kengele?? Serikali imeshindwa kuhamasisha hili?? Tuna tatizo mahali...
 
Back
Top Bottom