Musoma: Mtoto afariki na kugeuka jiwe

Musoma: Mtoto afariki na kugeuka jiwe

Maelezo ya mama anasema ana watoto mapacha alitoka bariad kwenda simiyu kumuona mkwewe ambae aliambiwa ni mgonjwa alipofika akapokelewa stendi na wifi yake yeye akambeba kulwa na wifi yake akambeba dogo wakat wanakaribia nyumbani akahis uzito mgongoni unapungua akamuomba wifi yake amuangalie mtoto wifi,wifi yake akamwambia mtoto yupo sawa walipofika nyumbani mtoto amekakamaa amefariki akawa jiwe 😭

Nonsensical. Mama na wifi wote watiwe nguvuni, wamekula njama ya kumdhuru mtoto, inawezekana hata huko Bariadi katoka kwa mganga.
 
Kanda hizo na watoto wenye ulemavu wa ngozi(albinism)ni mkosi kwenye familia na koo,,,nina uhakika kuwa huyo mtoto alikuwa na mapungufu hayo wameamua kukapoteza!!!
Kwanini lakini?
Majitu ya huko Yana roho mbaya sana
 
Hii dunia ni ngumu kuielewa na kila siku kuna jipya, mtoto amekufa na kugeuka kuwa jiwe, huyu mama alizaa watoto mapacha mtoto mmoja amefariki na mwingine bado yupo.

Tukio limetokea ukweni na tayari ndugu wa mke wameamua kuondoka na ndugu yao (mama mfiwa) na mtoto wake aliyebakia hai.

Chanzo: UTV

USSR

----
Wananchi wa mtaa wa Mgaranjabo kata ya Buhare katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara wamekumbwa na sintofahamu baada ya mtoto wa mwezi mmoja aitwaye Amri Hamisi kufariki dunia na kudaiwa kugeuka jiwe


View attachment 2593964
hakupatikana kwa mganga huyo? manake hao watoto wa dawa za waganga wengi wanakuwaga majini, ukifika muda anarudi kwao.
 
Inafikirisha sana mkuu ila haya mambo ya mauza uza yapo mkuu ,kuna siku nikuwa natazama fainali ya Uefa night kal sna nmetoka usku nikapita maburini ,nikakuta kikundi cha watu wapo uchi , sema nini mkuu kushuhudia haya mambo kuaminika inakuwa ngumu kuna mda inabidi uvunge tu.
Haha, sasa watu kuwa uchi nyakati za usiku ni mauzauza, haya mambo hayapo, sema watu washapumbazwa akili na matapeli.

uchawi haupo
 
wazee wa kughecha sasa wameanza kuwa wataalam na wao looooh hatari sana hii, ila kama naona ni sanaa vile , nchi ngumu sana hii.
 
Back
Top Bottom