Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanaosema uchawi haupo huwa nawachekiiii, nabaki kuwastaajabu kama kweli walizaliwa na kukulia hapa Africa.
Possibly kuna mtu kawazidi akili kaiba mtoto kaweka jiwe si ajabu kawafatilia mda tu kapata chance kafanya yake kajua kwa mchezo huo atatek akili za watu watafikirikia mauzauza hayo na hatofatiwaKweli hay mambo yapo rena naamini kbsa uchawi upo ila kwa situation hyo ya kichnga apo kuna mtu kacheza na akili zao tu
Hakuna uchawi. Mtu yeyote anayeamini uwepo wa ushirikina ni zwazwa grade A1.
Wewe na ndevu zako unaamini huyo mtoto kageuka jiwe kweli? Ni shule gani uliyosomea huu ujinga watu waache kupeleka watoto wao huko?
Hapa Africa hakuna vyuo hivyo ila nenda India na baadhi ya nchi kama hujakutana na vyuo vinavyofundisha uchawi.
Ila we jamaa umekaza fuvu kwa mambo usiyoyajua ilhali huna ulijualo. Eti wanaoamini uwepo wa ushirikina ni mazwazwa, zwazwa ni wewe unayepinga uwepo wa mambo ambayo yapo.Hiyo link yako inasema watu walihukumiwa kwa kufanya mauaji na marehemu walikutwa na majeraha makubwa, ni wapi inaongelea mambo ya ushirikina?
"Amesema kutokana na ushahidi na vielelezo vilivyowasilishwa mahakamani hapo, Watu hao sita walikuwa na nia ya dhati ya kuwaondolea uhai watu hao ambao miili yao ilikutwa na majeraha makubwa sehemu za kichwani, shingoni na mgongoni."
Angalia video za mtoa ushuhuda jinsi mtoto aluvyoanza kuyeyuka nakubadilika polepole hadi kuwa jiwe akiwa ndani ya nguo. Dunia hii ni complicated kuliko tunavyofikiri!Jiwe limewekwa hapo kuwachota akili mazoba, mtoto kaibiwa tayari.
Kama uchawi upo basi jua kwamba lolote laweza kutokea.Kweli hay mambo yapo rena naamini kbsa uchawi upo ila kwa situation hyo ya kichnga apo kuna mtu kacheza na akili zao tu
Ni jiwe kuu la pembeni.mkuuNgoja tusubiri labda itatokea siku ya tofauti ya miujiza ya ""Jiwe"" kuwa mtoto/mtu,,,kwa maana tangu kale watu ndio wanageukaga mawe tuu,,,mf:Mke wa Lutu aligeuka ""jiwe",,,,Mara marehemu Magufuli nae aligeuka na kujibatiza kuwa yeye ni""jiwe"",,,hujakaa sawa kuna Ngumi jiwe na wala si jiwe ngumi!!!yaani ni mtafaruku tuu!!!###NgojaTusubiri###Hata jiwe walilolikataa waashi ndio limekuwa Jiwe Kuu la Pembeni,,,,yaani hadi waashi walijaribu maskini kulikataa jiwe lakini hatimaye likawa Jiwe kuu la pembeni,,,Jiwe hadi linapewa ukuu!!!Hili Jiwe ni Jiwe gani??
watoa ushuhuda wapo kila mahali hata uwongo hukosi shuhudaAngalia video za mtoa ushuhuda jinsi mtoto aluvyoanza kuyeyuka nakubadilika polepole hadi kuwa jiwe akiwa ndani ya nguo. Dunia hii ni complicated kuliko tunavyofikiri!
Angalia video za mtoa ushuhuda jinsi mtoto aluvyoanza kuyeyuka nakubadilika polepole hadi kuwa jiwe akiwa ndani ya nguo. Dunia hii ni complicated kuliko tunavyofikiri!
watoa ushuhuda wapo kila mahali hata uwongo hukosi shuhuda
Hearsay? Ok nikuombe ufanye safari kwenda wilaya za Simiyu,Mwanza,Kigoma,Tanga,Katavi,Mara,nk (hasa hasa vijijini) na ukifika Anza kujinadi kuwa hauamini kama uchawi upo, na wala hauna madhara yoyote, halafu uone kitakachokutokea.Tumezaliwa, tumekua na tumeishi Africa ila tumeamua kutumia bongo zetu badala ya kuamini story za hearsay zinazoaminiwa na wajinga na kuenenzwa na wapumbavu.
video iko wapiAngalia video za mtoa ushuhuda jinsi mtoto aluvyoanza kuyeyuka nakubadilika polepole hadi kuwa jiwe akiwa ndani ya nguo. Dunia hii ni complicated kuliko tunavyofikiri!
hao wakibanwa sawasa wiki ukweli wote wanaelezaItakua anamuamini hata Zumaridi maana nae alitoa ushuhuda wa kwenda mbinguni.
Kuna profesa mmoja wa Sociology hapo UDSM alishafanya utafiti huko Gamboshi, ilimlazimu mpaka kupaa kwa ungo, Ila alidhurika alikuwa mdhaifu kwa muda mrefu baadaye.Hearsay? Ok nikuombe ufanye safari kwenda wilaya za Simiyu,Mwanza,Kigoma,Tanga,Katavi,Mara,nk (hasa hasa vijijini) na ukifika Anza kujinadi kuwa hauamini kama uchawi upo, na wala hauna madhara yoyote, halafu uone kitakachokutokea.
Wenzako UDSM wameingia mzigoni kufanya research juu ya mambo hayo tangu mwaka jana, wewe unakaza fuvu bila hata ya research.