Halafu Kuna pimbi mmoja hapo juu ni mbishi balaa. Na humu wamo wengi tu; wamesoma soma kidogo wakadhani elimu waliyoipata ndiko kila kitu kiasi kwamba hakuna elimu nyingine zaidi ya hapo. Huo nao ni uzwazwa.
Wala usisumbuke nao ndiyo wachawi wenyewe, huwa wanajisikia vibaya siri zao zikitoka kwa hiyo wanajificha kwenye chaka hilo ili kuwakatisha tamaa watu wanaowaexpose.
Nimeishi kabisa hizo sehemu sio kukaa tu hadi Kigoma Mnanila kule mpakani kabisa na Burundi nimekaa pale, nimesema haya haya na hadi leo sijapata huo uthibitisho zaidi ya hizi dana dana za sijui nenda wapi sijui fulani alifanya hivi sijui kilitokea kile, zote ni story tu kama wewe ambavyo unasimuliwa na kuamini maana hujawahi kuona kitu ila unaamini tu kama nyumbu.
I'm glad umegusia research ya UDSM, ulisoma ile ripoti au nayo ulisimuliwa tu? FYI majibu yao yalisema ni imani zinazoaminiwa na watu wajinga:
Chuo Kikuu cha Dar es salaam kinafanya utafiti juu ya Uchawi ambao hupelekea mauwaji ya vikongwe na mambo ya kusaka utajiri Wahadhiri wamesema Uchawi ni Imani za kimaskini na kwamba hakuna ushahidi wa kisayansi kwamba Mtu anaweza kusafiri kwa Ungo kutoka Tabora hadi Dar es salaam Source: Star tv
Usitake kudanganya hapa,hizo sehemu hujaishi. Na pia UDSM hawajatoa majibu. Hiyo issue ya kwamba 'ungo hauwezi kupata maana sayansi inakataa' ni hypothesis iliyokuwa iwaongoze kwenye research ila, halikuwa ndo jibu/hitimisho la research hiyo.
Wala usisumbuke nao ndiyo wachawi wenyewe, huwa wanajisikia vibaya siri zao zikitoka kwa hiyo wanajificha kwenye chaka hilo ili kuwakatisha tamaa watu wanaowaexpose.
Well, nimekaa S/wanga na nilikua Havard last December kwenye function fulani, that wasn't the first time probably not the last one either, kote sijapata uthibitisho wa uwepo wa ushirikina zaidi ya story za hearsay zinazosambazwa na wajinga na kuaminiwa na mazwazwa.
Hao viongozi wadini kuamini kwao hakufanyi na mimi niamini. Story za Mungu wao zenyewe zina walakini ndo sembuse ushirikina? Nahitaji uthibitisho sio kuamini kama nyumbu.
Oooh uchawi haupo! Uchawi haupo! Jiwe angekuwa hai mngemwuliza ule moshi kule Kusini ulitokea wapi, pengine angewapa jibu. Unafikiri wananchi waliwasha moto karibu na msafara wa Mhe.Rais akiwa anahutubia? Huo ujasiri wa kuwasha moto karibu na Rais unautoa wapi? Presidential Security Unit wanakuangalia tu ukiwasha moto na kumwelekezea moshi Mhe.Rais?
Hear me out, nataka uthibitisho wa mtoto kuwa jiwe. Sio nani katangaza au maneno ya mashahidi.
Hata habari za Zumaridi, Qnet nk zote zilikua on news outlet.
Kwa akili yako unaamini mtu anaweza geuzwa kuwa jiwe? Huoni kabisa dalili za foul play? Tell me more utakua unaamini albino hawafi wanapotea as well sio?
Usitake kudanganya hapa,hizo sehemu hujaishi. Na pia UDSM hawajatoa majibu. Hiyo issue ya kwamba 'ungo hauwezi kupata maana sayansi inakataa' ni hypothesis iliyokuwa iwaongoze kwenye research ila, halikuwa ndo jibu/hitimisho la research hiyo.
Kwahiyo uchawi unaweza kufanya mtu awe jiwe ila hawezi kusafiri na ungo? Sio nyie kila siku mnaambiwa story za watu kuanguka na ungo makanisani? Hizo huziamini?
Sijafika tu hizo sehemu nimekaa kabisa, from Mbeya, Ileje, S/wanga, hadi Kigoma na mbele as well. Zingine nimefika as late as last yr.
Halafu Kuna pimbi mmoja hapo juu ni mbishi balaa. Na humu wamo wengi tu; wamesoma soma kidogo wakadhani elimu waliyoipata ndiko kila kitu kiasi kwamba hakuna elimu nyingine zaidi ya hapo. Huo nao ni uzwazwa.
Kuna profesa mmoja wa Sociology hapo UDSM alishafanya utafiti huko Gamboshi, ilimlazimu mpaka kupaa kwa ungo, Ila alidhurika alikuwa mdhaifu kwa muda mrefu baadaye.
Inawezekana ni mchezo tu, kageuka, nani kaona? Ujinga tu, huyo Mama kama kadanganya?, inawezekana kabisa kafanya mchezo anaoujua, Ushabiki wa kijinga huu.
Hii dunia ni ngumu kuielewa na kila siku kuna jipya, mtoto amekufa na kugeuka kuwa jiwe, huyu mama alizaa watoto mapacha mtoto mmoja amefariki na mwingine bado yupo.
Tukio limetokea ukweni na tayari ndugu wa mke wameamua kuondoka na ndugu yao (mama mfiwa) na mtoto wake aliyebakia hai.
Chanzo: UTV
USSR
----
Wananchi wa mtaa wa Mgaranjabo kata ya Buhare katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara wamekumbwa na sintofahamu baada ya mtoto wa mwezi mmoja aitwaye Amri Hamisi kufariki dunia na kudaiwa kugeuka jiwe
Oooh uchawi haupo! Uchawi haupo! Jiwe angekuwa hai mngemwuliza ule moshi kule Kusini ulitokea wapi, pengine angewapa jibu. Unafikiri wananchi waliwasha moto karibu na msafara wa Mhe.Rais akiwa anahutubia? Huo ujasiri wa kuwasha moto karibu na Rais unautoa wapi? Presidential Security Unit wanakuangalia tu ukiwasha moto na kumwelekezea moshi Mhe.Rais?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.