Musoma: Mtoto afariki na kugeuka jiwe

Musoma: Mtoto afariki na kugeuka jiwe

Maelezo ya mama anasema ana watoto mapacha alitoka bariad kwenda simiyu kumuona mkwewe ambae aliambiwa ni mgonjwa alipofika akapokelewa stendi na wifi yake yeye akambeba kulwa na wifi yake akambeba dogo wakat wanakaribia nyumbani akahis uzito mgongoni unapungua akamuomba wifi yake amuangalie mtoto wifi,wifi yake akamwambia mtoto yupo sawa walipofika nyumbani mtoto amekakamaa amefariki akawa jiwe 😭
Ngoja tusubiri labda itatokea siku ya tofauti ya miujiza ya ""Jiwe"" kuwa mtoto/mtu,,,kwa maana tangu kale watu ndio wanageukaga mawe tuu,,,mf:Mke wa Lutu aligeuka ""jiwe",,,,Mara marehemu Magufuli nae aligeuka na kujibatiza kuwa yeye ni""jiwe"",,,hujakaa sawa kuna Ngumi jiwe na wala si jiwe ngumi!!!yaani ni mtafaruku tuu!!!###NgojaTusubiri###Hata jiwe walilolikataa waashi ndio limekuwa Jiwe Kuu la Pembeni,,,,yaani hadi waashi walijaribu maskini kulikataa jiwe lakini hatimaye likawa Jiwe kuu la pembeni,,,Jiwe hadi linapewa ukuu!!!Hili Jiwe ni Jiwe gani??
 
Wamemfanyia mazingaombwe mtoto ili wamuibe kwa kugeuza mtoto kuwa jiwe.
 
Yadunia hayeshi
Screenshot_20230420-171614.jpg
 
Maelezo ya mama anasema ana watoto mapacha alitoka bariad kwenda simiyu kumuona mkwewe ambae aliambiwa ni mgonjwa alipofika akapokelewa stendi na wifi yake yeye akambeba kulwa na wifi yake akambeba dogo wakat wanakaribia nyumbani akahis uzito mgongoni unapungua akamuomba wifi yake amuangalie mtoto wifi,wifi yake akamwambia mtoto yupo sawa walipofika nyumbani mtoto amekakamaa amefariki akawa jiwe 😭
Watakuwa walifanyiwa change kota barabarani, kimazingara.
 
Wakazi katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara leo Aprili 20 wameingiwa na taharuki baada ya mwili wa mtoto,
AMIRI HAMIS mwenye umri wa mwezi mmoja na siku 12 kudaiwa kugeuka jiwe huku baadhi ya watu wakihusisha tukio hilo na imani za kishirikiana.

#taharuki #kichanga #jiwe #ushirikina #tukio #imani #mara
 
Attachments

  • 1682004749335.jpg
    1682004749335.jpg
    21.1 KB · Views: 5
Nonsense. Huyo mtoto kauawa au kaibwa. Hao watu na yeyote anayeamini hii habari ni mazwazwa wa kiwango cha PhD.

Jifunze kusoma na kufikirisha akili, nadhani Mgaranjabo hufahamu vizuri kuna ushirikina mno na waiwahi kuuana hapo, wakapelekwa Mahakamani hukumu imetoka mwaka 2021 watuhumiwa wanyongwe hadi kufa

Jifunze kusoma na kufikirisha akili, nadhani Mgaranjabo hufahamu vizuri kuna ushirikina mno na waiwahi kuuana hapo, wakapelekwa Mahakamani hukumu imetoka mwaka 2021 watuhumiwa wanyongwe hadi kufa

Hakuna uchawi. Mtu yeyote anayeamini uwepo wa ushirikina ni zwazwa grade A1.

Wewe na ndevu zako unaamini huyo mtoto kageuka jiwe kweli? Ni shule gani uliyosomea huu ujinga watu waache kupeleka watoto wao huko?

Hiyo link yako inasema watu walihukumiwa kwa kufanya mauaji na marehemu walikutwa na majeraha makubwa, ni wapi inaongelea mambo ya ushirikina?

"Amesema kutokana na ushahidi na vielelezo vilivyowasilishwa mahakamani hapo, Watu hao sita walikuwa na nia ya dhati ya kuwaondolea uhai watu hao ambao miili yao ilikutwa na majeraha makubwa sehemu za kichwani, shingoni na mgongoni."
 
Watu wanaosema uchawi haupo huwa nawachekiiii, nabaki kuwastaajabu kama kweli walizaliwa na kukulia hapa Africa.
 
Maelezo ya mama anasema ana watoto mapacha alitoka bariad kwenda simiyu kumuona mkwewe ambae aliambiwa ni mgonjwa alipofika akapokelewa stendi na wifi yake yeye akambeba kulwa na wifi yake akambeba dogo wakat wanakaribia nyumbani akahis uzito mgongoni unapungua akamuomba wifi yake amuangalie mtoto wifi,wifi yake akamwambia mtoto yupo sawa walipofika nyumbani mtoto amekakamaa amefariki akawa jiwe 😭
Eeehh😳😳
 
Back
Top Bottom