Musoma: Mtoto afariki na kugeuka jiwe

Kila wakati lazima tuletewe jambo la kuzingatia ili tusahau yanayoendelea.
 
Mama anajua alichokifanya ..kwanini aliyebeba yeye ndio awe jiwe ... Alimbeba kwa style kila mtu anamuona au alifunika sura ..kuna kamchezo hapo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Myazi Mungu aliumba Viumbe vinavyoonekana na visivyoonekana
 
Tunaposema story zote za ushirikina ni story za kusadikika zinazoaminiwa na wajinga na kusambazwa na wapumbavu muwe mnaelewa kenge nyie.

 
Atakapokufa wa kwako halafu akageuka jiwe ndio utaelewa
Hakuna mambo haya.

Binadamu ni anazaaa binadamu.
Kenge anaza kenge
Mjusi anazaa mjusi
Nyoka anazaa nyoka
Mamba anzaa mamba
Kuku anatotoa kuku.

Binadamu kuzaa jiwe au mtu kuja kugeuka jiwe, binadamu ni akifa anaharibika na mwisho wa siku kubakia mifupa na mafuvu tu na sio kugeuka jiwe binadamu kugeuka jiiwe ni elimu mpya kabisa na wala hawaijawahi kuwepo kwenye mtaala wowote na ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa.
 
Kumbe? Hapo sawa. Ila bado haimaanishi kwamba uchawi haupo. Tuliowahi kukutana nao tunaujua muziki wake.
Isongetoka serikali kukanusha ulikuwa uishaamini na kutetea kwa nguvu zote.

Na hizo unazosema uliwahi kukutana nazo ni stori tu hearsay mazingaombwe na kuchezewa akili basi na qala hayana uhalisia wowote ule.
 
Kwahiyo mazingaombwe ni nini? Ni sayansi, hallucinations au nini?
Kwa lugha rahisi Ni ufundi uliopo katika formula ambao hata wewe, mimi na yeyote yule akifundishwa anaweza kufanya na ukaonesha matokeo ya kuonelana kwa macho ya kila mmoja. Na wanamaziombwe wanaonekana na kujulikana na watu. Ni watu wasiojificha au kutotaka kujulikana au kuonekana na wengine. Tofautusha na watu wanodai kuwa ni wachawi.
 
Ningekuwa mimi ndo wewe, ningewaomba mzigo niwapige mbupu, labda kama vilikuwa ni vibibi, ila kama ma binti na ma jimama, mbupu ingewahusu.
 
Nimependa juhudi yako ya kudadavua, ila mkuu hatukumaanisha kwa jinsi hiyo uliyoiweka 😊😊 na tunajua hizo kanuni za kimaumbile, tulimaanisha viini macho vya kichawi, mtoto anaibwa unaachiwa kitu cha ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…