HIZI ni nyakati za Giza kutawala juu ya nchi.Mungu atusaidie maana kanisa linapigwa vita sana now
The good news is, KUTAPAMBAZUKA, Giza ni la muda tu.
pet96
HIZI ni nyakati za Giza kutawala juu ya nchi.Mungu atusaidie maana kanisa linapigwa vita sana now
Kama ana watoto akabidhi tu kwa yatima aandike malizake kwa yatima apunguziwe adhabuPadri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bunda mkoani Mara nchini Tanzania, Karoli Mganga amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma akikabiliwa na mashtaka 178, likiwemo la kuongoza genge la uhalifu.
Mbali na padri huyo, mshtakiwa mwingine katika kesi hiyo ni aliyekuwa mhasibu wa kanisa hilo Jimbo la Bunda, Gerald Mgendigendi.
Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo leo Jumanne Agosti 6, 2024 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Aloyce Katemana na kusomewa mashtaka yanayowakabili.
Akiwasomea mashtaka hayo, Mkuu wa Mashtaka Mkoa wa Mara, Amoscsye Erasto amedai walitenda kosa la kughushi nyaraka, kinyume na sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16, marejeo ya mwaka 2022.
Amedai washtakiwa hao wakiwa watumishi wa kanisa hilo, waliiba fedha Sh1.7 bilioni pamoja na fedha za kigeni, ikiwepo Dola zaidi ya 100,000 na Euro zaidi ya 20,000.
Amedai jumla wanakabiliwa na mashtaka 178, yakiwemo ya kuongoza genge la uhalifu, utakatishaji fedha pamoja mashtaka mengine mengi.
Hata hivyo, baada ya kusomewa mashtaka hayo hawakutakiwa kujibu chochote kwa kuwa Mahakama hiyo haina mamlaka kisheria kusikiliza kesi hiyo. Kesi itatajwa tena Agosti 20, 2024 na washtakiwa wamepelekwa rumande
mi najua hela za katolik hazitokagi bila yule jamaa wanamuitaga baba askofu kuhusikaPadri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bunda mkoani Mara nchini Tanzania, Karoli Mganga amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma akikabiliwa na mashtaka 178, likiwemo la kuongoza genge la uhalifu.
Mbali na padri huyo, mshtakiwa mwingine katika kesi hiyo ni aliyekuwa mhasibu wa kanisa hilo Jimbo la Bunda, Gerald Mgendigendi.
Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo leo Jumanne Agosti 6, 2024 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Aloyce Katemana na kusomewa mashtaka yanayowakabili.
Akiwasomea mashtaka hayo, Mkuu wa Mashtaka Mkoa wa Mara, Amoscsye Erasto amedai walitenda kosa la kughushi nyaraka, kinyume na sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16, marejeo ya mwaka 2022.
Amedai washtakiwa hao wakiwa watumishi wa kanisa hilo, waliiba fedha Sh1.7 bilioni pamoja na fedha za kigeni, ikiwepo Dola zaidi ya 100,000 na Euro zaidi ya 20,000.
Amedai jumla wanakabiliwa na mashtaka 178, yakiwemo ya kuongoza genge la uhalifu, utakatishaji fedha pamoja mashtaka mengine mengi.
Hata hivyo, baada ya kusomewa mashtaka hayo hawakutakiwa kujibu chochote kwa kuwa Mahakama hiyo haina mamlaka kisheria kusikiliza kesi hiyo. Kesi itatajwa tena Agosti 20, 2024 na washtakiwa wamepelekwa rumande.
Soma pia: Bukoba: Kauli ya kanisa juu ya Padri anayedaiwa kuhusika kifo cha Mtoto mwenye Ualibino.
Hata Yesu alituhumia kwa kosa la kuhamasisha watu wasilipe kodi kwa Kaizar, n.kpadri kutuhumiwa tu ni kuliaibisha kanisa
My Take
Hawa ndio eti wanawawekea sijui mikono sijui Sakramenti Ili mpigwe vizuri 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1820842450346262601?t=OFkShvWto7K_Hi2Av1TORw&s=19
Yule wa tangaa akaamua kujiua kabisa anzishen makanisa badooo kiboko ya wawizardDu! Hii ni shida. Juzi padre kakamatwa kwa kushiriki mauaji ya albino. Leo mwingine anakamatwa kwa uhalifu. Mapadre wamecharuka hata kuliko mashehe.
Tamaa zimewaponzaAkiwasomea mashtaka hayo, Mkuu wa Mashtaka Mkoa wa Mara, Amoscsye Erasto amedai walitenda kosa la kughushi nyaraka, kinyume na sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16, marejeo ya mwaka 2022.
Amedai washtakiwa hao wakiwa watumishi wa kanisa hilo, waliiba fedha Sh1.7 bilioni pamoja na fedha za kigeni, ikiwepo Dola zaidi ya 100,000 na Euro zaidi ya 20,000.
Hawa ndiyo wanesababisha sisi wengine kujitenga na Kanisa kitambo tu. Bora wapukutishwe ili Kanisa lijianze upyaPadri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bunda mkoani Mara nchini Tanzania, Karoli Mganga amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma akikabiliwa na mashtaka 178, likiwemo la kuongoza genge la uhalifu.
Mbali na padri huyo, mshtakiwa mwingine katika kesi hiyo ni aliyekuwa mhasibu wa kanisa hilo Jimbo la Bunda, Gerald Mgendigendi.
Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo leo Jumanne Agosti 6, 2024 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Aloyce Katemana na kusomewa mashtaka yanayowakabili.
Akiwasomea mashtaka hayo, Mkuu wa Mashtaka Mkoa wa Mara, Amoscsye Erasto amedai walitenda kosa la kughushi nyaraka, kinyume na sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16, marejeo ya mwaka 2022.
Amedai washtakiwa hao wakiwa watumishi wa kanisa hilo, waliiba fedha Sh1.7 bilioni pamoja na fedha za kigeni, ikiwepo Dola zaidi ya 100,000 na Euro zaidi ya 20,000.
Amedai jumla wanakabiliwa na mashtaka 178, yakiwemo ya kuongoza genge la uhalifu, utakatishaji fedha pamoja mashtaka mengine mengi.
Hata hivyo, baada ya kusomewa mashtaka hayo hawakutakiwa kujibu chochote kwa kuwa Mahakama hiyo haina mamlaka kisheria kusikiliza kesi hiyo. Kesi itatajwa tena Agosti 20, 2024 na washtakiwa wamepelekwa rumande.
Soma pia: Bukoba: Kauli ya kanisa juu ya Padri anayedaiwa kuhusika kifo cha Mtoto mwenye Ualibino.
My Take
Hawa ndio eti wanawawekea sijui mikono sijui Sakramenti Ili mpigwe vizuri 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇
Shetani ni mvumilivu sana kwa hayo masingizio mengi anayolundikiwa. Eti aombewe ili huyo shetani aondoke... Nani alimleta na kumwingiza huyo hapo?(Yafaa umtake radhi shetani)Waliingiwa tu na shetani.walitakiwa tu waombewe ili huyo shetani aondoke na kuwa wema.wamekosea sana kuwashitaki maana hata bibilia inasema usilipe kisasi Bali mpende jirani Yako kama unavyojipenda wewe.
