Musoma: Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bunda apandishwa Kortini kwa kuongoza Genge la Uhalifu

Mungu atusaidie maana kanisa linapigwa vita sana now
Siku moja jakaya alisema alupanda chopa Hadi Arusha/Kilimanjaro parokiani,akamuuliza padre/askofu kwa Nini gari lenye silaha limekutwa hapo,padre akajibu ni la muumini,siku nyingine kwenye hafla ya kanisa jakaya aliwaambia maaskofu kwamba baadhi yao wanafanya biashara ya dawa za kulevya
 
Na yeye akasahau aliuza ges yetu kwa wachina prince asinyongwe!
 
Hawa ndio eti wanawawekea sijui mikono sijui Sakramenti Ili mpigwe vizuri 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇
Sijajua mashtaka mengine maana hayajaelezewa, limeelezwa la hela. Hilo la hela labda awe ameshtakiwa na Askofu wa Jimbo lake, lakini kimamlaka, Padri kama ni Paroko ana mamlaka mengi juu ya fedha na mali za Parokia, amepewa uwezo mkubwa tu wa kuzipangilia fedha na mali, so akiwa na tabia ya udokozi anaweza akafanya na ikawa vigumu kumshtaki
 
Sasa hapo imekaaje kwani haijasemwa ni Paroko kamshtaki au Askofu ila kesi iko mahakamani. Hapo kuna kitu nyuma ya pazia au
 
Nadhani tusubiri, maana taarifa yenyewe imebana mambo mengi. Taarifa imesema makosa 178 lakini walau lililofafanuliwa kwa udogo ni moja tu la wizi. Tutajua tu
 
Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bunda mkoani Mara nchini Tanzania, Karoli Mganga amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma akikabiliwa na mashtaka 178, likiwemo la kuongoza genge la uhalifu.

Amedai washtakiwa hao wakiwa watumishi wa kanisa hilo, waliiba fedha Sh1.7 bilioni pamoja na fedha za kigeni, ikiwepo Dola zaidi ya 100,000 na Euro zaidi ya 20,000.

Kule watu wanauziwa upako na miujiza
Huku watu wanakamuliwa sadaka ziibwe. (usisahau kanisa hili lina utitiri wa sadaka).

Sasa we jichagulie wapi kwa kwenda kupigiwa
 
Kule hawashtakiwi, huku wanashtakiwa. Hiyo ndio tofauti ya Kanisa kama mali ya mtu na Kanisa kama taasisi
 
Back
Top Bottom