Musoma: Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bunda apandishwa Kortini kwa kuongoza Genge la Uhalifu

yuko sawa
hata sisi tunaiba sana tu ni vile hatujashikwa

siwezi muhukumu padri, kwangu yuko sawa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Soma mwenyewe hapa maana sitaki kuweka maneno mengi.
---
Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bunda pamoja na Mhasibu walifikishwa Mahakamani Agosti 6, 2024 na kusomewa mashtaka na Mkuu wa Mashtaka wa Mkoa wa Mara, Amoscsye Erasto ambapo wana jumla ya mashtaka 178 ikiwemo wizi wa takriban Tsh. Bilioni 1.7

Aidha, washtakiwa hawajajibu chochote kwa kuwa Mahakama hiyo haina Mamlaka Kisheria kusikiliza kesi hiyo. Kesi itatajwa tena Agosti 20, 2024 na Washtakiwa wamebaki rumande

Viongozi wa Dini kuhusishwa na tuhuma za ulaghai au udanganyifu, kuna athari zipi katika jamii?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Alafu hao hao bado wanataka kulipwa laki tisa kwa mwezi!!?? Kweli kazi Mama anayo!!!!
 
Kosa moja ni la bilioni 1.7, hayo 177 wamevuna kiasi cha shilingi ngapi?
 
Ninajiuliza, wamemuibia nani?
 
Alafu hao hao bado wanataka kulipwa laki tisa kwa mwezi!!?? Kweli kazi Mama anayo!!!!
Mtoa hoja YA KUTAKA WALIPWE LAKI 9 NA SERIKALI, alijumlisha wote, lakini wenye mtazamo huo si wote. Hakuna mahala walikaa wote wakakubaliana waombe kulipwa na serikali..!!
 
Inahusina na padrii kuiba Bil 1.7?
This is stupidity, grow up jamaa yangu mengine ni ya kudharirisha!
Sasa wwe unakereka na nini!? Mbona wengine tunasoma kimyakimya, soma kinacho kufurahisha,kinacho kukera kipitie juu kwa juu tu!!
 
Mungu atusaidie maana kanisa linapigwa vita sana now
Shetani ametumia viongozi wengi wanavaa ngozi ya kondoo kumbe mbwa wakali
Upendo kusaidiana havihubiriwi tena
Sadaka Kwa wahitaji sio agenda tena
Kilicho Baki toa Kwa BWANA 'MUNGU (viongozi)
Maskini wajane mayatima wagonjwa wenye uhitaji hawana nafasi tena
Waraka wa yakobo ume expiry
Utashangaa Mhitaji mwenye jina la kikristo anaomba Masada kwenye midia ni aibu Masada ambao kabisa linaweza kabisa kumsaidia ila halitaki kabisa Sana Sana ataambiwa aombewe wao wachangiwe
Yaliyo tokea ulaya kanisa kuanguka ni mambo kama haya kuthamini vitu kuliko utu
Ulaya kuna vitu vya kanisa kuliko watu
 
Back
Top Bottom