Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Kaa kwa kutulia usitupigie Makelele.Oyooo.
Fyuu fyuu fyuuu...Miluzi tu unaambiwa.
Ankoo ankoo.
Kaa kwa kutulia usitupigie Makelele.Oyooo.
Fyuu fyuu fyuuu...Miluzi tu unaambiwa.
Ankoo ankoo.
Ji Ajali....Siyo Ajari...Ajari kazini 😎
Injoi laifu mjomba ila mdomo ukizid Polonium au Katavi patakuhusu.Kaa kwa kutulia usitupigie Makelele.
Lucas isije kuwa ni mshika pembeSio kweli acha kujidanganya
Huyo padre anajumba moja la kifahari mwanza kapripoint, alihamisha watu akashusha ghorofa kali sana huku mafundi wakitokea uganda, alikua anakwenda mapumziko baadhi ya siku, huku akitazama maji ya ziwa victoriaMapadri wamecharuka na madili, dili za hela, dili za albino.....wataanza na udalali
Mambo yote yataeleweka.Huyo padre anajumba moja la kifahari mwanza kapripoint, alihamisha watu akashusha ghorofa kali sana huku mafundi wakitokea uganda, alikua anakwenda mapumziko baadhi ya siku, huku akitazama maji ya ziwa victoria
Mapadri wamecharuka na madili, dili za hela, dili za albino.....wataanza na udalali
Li ajali likubwa 😂🙌Ji Ajali....Siyo Ajari...
Ahsante
Watu wa Uto mnatusumbua sana.. 🤣Li ajali likubwa 😂🙌
Tukutane kesho..Watu wa Uto mnatusumbua sana.. 🤣
Inahusina na padrii kuiba Bil 1.7?Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Ubaya Ubwelela🤣🤣🤣Tukutane kesho..
Luca shida yako ni kutofahamika kama weye chawa wa duniani au motoni,anaye kuelewa atusaidie kukujua tasafali.?Ndugu zangu Watanzania,
Soma mwenyewe hapa maana sitaki kuweka maneno mengi.
---
Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bunda pamoja na Mhasibu walifikishwa Mahakamani Agosti 6, 2024 na kusomewa mashtaka na Mkuu wa Mashtaka wa Mkoa wa Mara, Amoscsye Erasto ambapo wana jumla ya mashtaka 178 ikiwemo wizi wa takriban Tsh. Bilioni 1.7
Aidha, washtakiwa hawajajibu chochote kwa kuwa Mahakama hiyo haina Mamlaka Kisheria kusikiliza kesi hiyo. Kesi itatajwa tena Agosti 20, 2024 na Washtakiwa wamebaki rumande
Viongozi wa Dini kuhusishwa na tuhuma za ulaghai au udanganyifu, kuna athari zipi katika jamii?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huwezi ukanielewa ikiwa akili yako ni ndogo.Luca shida yako ni kutofahamika kama weye chawa wa duniani au motoni,anaye kuelewa atusaidie kukujua tasafali.?
Kaa kwa kutulia ndio uandike ujumbe wako.Luca shida yako ni kutofahamika kama weye chawa wa duniani au motoni,anaye kuelewa atusaidie kukujua tasafali.?
Wajinga ndio waliwao
Mungu hadanganywi.anawajuwa walio wake.Wajinga ndio waliwao
Ni laana kwa kiongozi wa Dini kutumia pesa za kanisa kwa maslahi yako binafsi na uchu wako wa kishetani. Mungu hawezi kukuacha salamaHela ya waumini tamu sana
Mungu asiniache salama kwani aliumba hela?Ni laana kwa kiongozi wa Dini kutumia pesa za kanisa kwa maslahi yako binafsi na uchu wako wa kishetani. Mungu hawezi kukuacha salama