The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,066
- 2,739
Tangulia kitandani naoga kwanza niisafisheNjoo tule
Tangulia kitandani naoga kwanza niisafisheNjoo tule
Wewe useme tu unaona wivu kwa ephen.unatamani ungekuwa ndio mimi. Maana mimi kwa sasa sina hata bajeti ya chakula kwa kuwa muda wote nakuwa najisikia kushiba tu nikipata maneno ya ephenInjili ya Luca , kaini na Abel sema ilo la mwisho cjui limebeba maana gani? Majina makubwa akili kisoda.
Acha bhangi🙄Tangulia kitandani naoga kwanza niisafishe
Hii inaogopesha sana.Ndugu zangu Watanzania,
Soma mwenyewe hapa maana sitaki kuweka maneno mengi...
Ni kama majizi ya CCM na Serikali yake.Ndugu zangu Watanzania,
Soma mwenyewe hapa maana sitaki kuweka maneno mengi...
Nimeacha nipo naoga now! Kaa mkao nikifika nianze tuAcha bhangi🙄
Lakini ana abuse uzuri wa majina yake kiasi hao wazazi wanatamani wangemuita PimbiLucas! Wazazi wako walikupa majina mazuri☺️
Wewe kama nani unamuambia Lucas hivyo?🤔Lakini ana abuse uzuri wa majina yake kiasi hao wazazi wanatamani wangemuita Pimbi
Wakitoka hapo wanashika bunduki kabisa kuwa majambazi.Mapadri wamecharuka na madili, dili za hela, dili za albino.....wataanza na udalali
Ni kijana wanguWewe kama nani unamuambia Lucas hivyo?🤔
Dah! Kazi kwelikweli hivi uoni kuwa Ephen anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa?Wewe useme tu unaona wivu kwa ephen.unatamani ungekuwa ndio mimi. Maana mimi kwa sasa sina hata bajeti ya chakula kwa kuwa muda wote nakuwa najisikia kushiba tu nikipata maneno ya ephen
Sio kweli acha kujidanganyaDah! Kazi kwelikweli hivi uoni kuwa Ephen anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa?
Ila weweWewe kama nani unamuambia Lucas hivyo?🤔
Hiyo kesi ni ya siku nyingi,ila Kuna walakini mwingi sana,tuiachie mahakama....unaijua 1B ?Ndugu zangu Watanzania,
Soma mwenyewe hapa maana sitaki kuweka maneno mengi...
Acha kutetea ujinga.Tunamfungulia mtu kesi 178 huku kesi moja tu ya kuvunja mikataba inatushinda tunabaki kuwalipa wahuni kila wakifungua kesi..hizi mambo za kufungua Lundo la kesi zinatudumaza Ubongo..
Na ujinga ni kuwa wamechukua kidogo kidogo usikute hata hajafanyia la maana zaidi ngono uzembe tuHiyo kesi ni ya siku nyingi,ila Kuna walakini mwingi sana,tuiachie mahakama....unaijua 1B ?
Oyooo.Lucas! Wazazi wako walikupa majina mazuri☺️
Kesi sio ya leo hiyo wewe mtwana wahuni wameitoa ili watu wasizungumzie binti wa Yombo..Acha kutetea ujinga.