King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Bado mahakama haijathibitisha mkuu, tuweke akiba ya maneno
Ithibitishe nini? Mtu anaiba 1.7B? Kwaninn wamemtuhumu yeye na wahasibu wake? Kwanini wasikutuhumu wewe?
Bado mahakama haijathibitisha mkuu, tuweke akiba ya maneno
Kuna kitu kinaitwa accountability, askari anaua raia halafu IGP anaambiwa ajiuzuru, au timu inafugwa halafu kocha ndio anafukuzwa. Inawezekana hajaiba ila hakutimiza wajibu wake vizuri na kusababisha hizo pesa zikaibwa ndio maana nimesema tuwe na akiba ya maneno mpaka pale aitakapothibitika kuwa ameiba.Ithibitishe nini? Mtu anaiba 1.7B? Kwaninn wamemtuhumu yeye na wahasibu wake? Kwanini wasikutuhumu wewe?
Kuna kitu kinaitwa accountability, askari anaua raia halafu IGP anaambiwa ajiuzuru, au timu inafugwa halafu kocha ndio anafukuzwa. Inawezekana hajaiba ila hakutimiza wajibu wake vizuri na kusababisha hizo pesa zikaibwa ndio maana nimesema tuwe na akiba ya maneno mpaka pale aitakapothibitika kuwa ameiba.
Well-done jeshiketuMusoma: Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bunda apandishwa Kortini kwa kuongoza Genge la Uhalifu
Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bunda mkoani Mara nchini Tanzania, Karoli Mganga amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma akikabiliwa na mashtaka 178, likiwemo la kuongoza genge la uhalifu...
Mchaga hata awe padri ni mchaga tu lazima maokoto kwanzaHuyo Padre kama ni yule mchaga kuna kipindi alikuwa Parokia moja huko ukrewe ndani maeneo ya Serema, anapenda hela sana na mwizi haswa ndani ya miaka miwili baada ya kuhamia pale alifanya vitu binafsi vilivyowafikirisha wenyeji wapi anapata ukwasi
Nikikumbuka kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein alivyouwawa kikatili ninalia sana.
Leo tuna Tawfiq za kutosha kwa ajili yake na tuna uhakika wa jannah na firdaus...
Lucas! Wazazi wako walikupa majina mazuri☺️Lucas Hebel Mwashambwa,
Nawe ephen_ mpe chochote unachoweza komredi Lucas MwashambwaLucas! Wazazi wako walikupa majina mazuri☺️
Jikite kwenye madaNawe ephen_ mpe chochote unachoweza komredi Lucas Mwashambwa