Musoma: Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bunda apandishwa Kortini kwa kuongoza Genge la Uhalifu

Kama ana watoto akabidhi tu kwa yatima aandike malizake kwa yatima apunguziwe adhabu
 
mi najua hela za katolik hazitokagi bila yule jamaa wanamuitaga baba askofu kuhusika
sasa hapa simuoni kuhusika au ndo walimzunguka
 
Ni hatua nzuri sana,ifikie mahali maji na mafuta vijitenge bila control ya binadamu

Hao inabidi haraka sana washughulikiwe ili kuwa mfano kwa wanaohisi wanaweza kufanya chochote kwa sababu wao ni kundi fulani linaloaminika ktk jamii
 
Du! Hii ni shida. Juzi padre kakamatwa kwa kushiriki mauaji ya albino. Leo mwingine anakamatwa kwa uhalifu. Mapadre wamecharuka hata kuliko mashehe.
Yule wa tangaa akaamua kujiua kabisa anzishen makanisa badooo kiboko ya wawizard
 
Mbona hii kesi ni ya siku nyingi walikuwa hawajawapeleka mahakamani? Kanisa ukatoliki ukikengeuka (murtad) mara Moja anavuliwa immunity zake na kukabidhiwa vyombo vya dola
 
Tamaa zimewaponza
 
Padri bado hajahukumiwa lakini majority wa "GT's wa JF" wameshaanza kumpiga mawe.

Nyie ndio waΔΊe vilaza mliambiwa na Yesu Kristu asie na dhambi awe wa kwanza kumpiga yule mwanamke mkapotea kama upepo.
 
Hawa ndiyo wanesababisha sisi wengine kujitenga na Kanisa kitambo tu. Bora wapukutishwe ili Kanisa lijianze upya
 
Waliingiwa tu na shetani.walitakiwa tu waombewe ili huyo shetani aondoke na kuwa wema.wamekosea sana kuwashitaki maana hata bibilia inasema usilipe kisasi Bali mpende jirani Yako kama unavyojipenda wewe.
Shetani ni mvumilivu sana kwa hayo masingizio mengi anayolundikiwa. Eti aombewe ili huyo shetani aondoke... Nani alimleta na kumwingiza huyo hapo?(Yafaa umtake radhi shetani)
Yes. Kumpenda jirani yako haimaanishi kumpet-peti pale anapofanya kosa. La hasha. Ukimpenda jirani yako ni pamoja na kumwambia ukweli pale anapokosea hata kama ukweli huo ni mchungu kwake. Je, mwanao umpendaye akikosea huwa unafanyaje? Mbona ikibidi huwa unachukua fimbo na kumchapa? Kwani unapomchapa upendo ndo unakuwa umeisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…