Toka hapaMungu atusaidie maana kanisa linapigwa vita sana now
Siku moja jakaya alisema alupanda chopa Hadi Arusha/Kilimanjaro parokiani,akamuuliza padre/askofu kwa Nini gari lenye silaha limekutwa hapo,padre akajibu ni la muumini,siku nyingine kwenye hafla ya kanisa jakaya aliwaambia maaskofu kwamba baadhi yao wanafanya biashara ya dawa za kulevyaMungu atusaidie maana kanisa linapigwa vita sana now
Na yeye akasahau aliuza ges yetu kwa wachina prince asinyongwe!Siku moja jakaya alisema alupanda chopa Hadi Arusha/Kilimanjaro parokiani,akamuuliza padre/askofu kwa Nini gari lenye silaha limekutwa hapo,padre akajibu ni la muumini,siku nyingine kwenye hafla ya kanisa jakaya aliwaambia maaskofu kwamba baadhi yao wanafanya biashara ya dawa za kulevya
Hayo maneno ya vijiweni,gas ya mtwara tunaimiliki kwa 50%Na yeye akasahau aliuza ges yetu kwa wachina prince asinyongwe!
Bado mahakama haijathibitisha mkuu, tuweke akiba ya manenoInasikitisha Sana.....Yaani so called watumishi wa mungu,manabii ,wachungaji etc ni Wezi na matapeli.
Haya banaHayo maneno ya vijiweni,gas ya mtwara tunaimiliki kwa 50%
Eleza tuhuma zake kwa undaniRoman pepoo gan limewaingia tenaaa kha mkishindwa kawen kama kibokoo ya wachawi haya mashtaka 178 mnaanzaje
Sijajua mashtaka mengine maana hayajaelezewa, limeelezwa la hela. Hilo la hela labda awe ameshtakiwa na Askofu wa Jimbo lake, lakini kimamlaka, Padri kama ni Paroko ana mamlaka mengi juu ya fedha na mali za Parokia, amepewa uwezo mkubwa tu wa kuzipangilia fedha na mali, so akiwa na tabia ya udokozi anaweza akafanya na ikawa vigumu kumshtakiHawa ndio eti wanawawekea sijui mikono sijui Sakramenti Ili mpigwe vizuri 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇
Yeah! Wote tu wadhambi kwa namna moja au nyingine. Hakuna kati yetu aliye msafi.Na yeye akasahau aliuza ges yetu kwa wachina prince asinyongwe!
Kanisa halihitaji ufikiliavyo ,isipokuwa hizo aibuzako hizo ,mademu wenyewe kutongoza hadi utume dadazakoMi siku maisha yakinipiga sana nafungua kanisa
Sasa hapo imekaaje kwani haijasemwa ni Paroko kamshtaki au Askofu ila kesi iko mahakamani. Hapo kuna kitu nyuma ya pazia auSijajua mashtaka mengine maana hayajaelezewa, limeelezwa la hela. Hilo la hela labda awe ameshtakiwa na Askofu wa Jimbo lake, lakini kimamlaka, Padri kama ni Paroko ana mamlaka mengi juu ya fedha na mali za Parokia, amepewa uwezo mkubwa tu wa kuzipangilia fedha na mali, so akiwa na tabia ya udokozi anaweza akafanya na ikawa vigumu kumshtaki
Nadhani tusubiri, maana taarifa yenyewe imebana mambo mengi. Taarifa imesema makosa 178 lakini walau lililofafanuliwa kwa udogo ni moja tu la wizi. Tutajua tuSasa hapo imekaaje kwani haijasemwa ni Paroko kamshtaki au Askofu ila kesi iko mahakamani. Hapo kuna kitu nyuma ya pazia au
Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bunda mkoani Mara nchini Tanzania, Karoli Mganga amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma akikabiliwa na mashtaka 178, likiwemo la kuongoza genge la uhalifu.
Amedai washtakiwa hao wakiwa watumishi wa kanisa hilo, waliiba fedha Sh1.7 bilioni pamoja na fedha za kigeni, ikiwepo Dola zaidi ya 100,000 na Euro zaidi ya 20,000.
Kule hawashtakiwi, huku wanashtakiwa. Hiyo ndio tofauti ya Kanisa kama mali ya mtu na Kanisa kama taasisiKule watu wanauziwa upako na miujiza
Huku watu wanakamuliwa sadaka ziibwe. (usisahau kanisa hili lina utitiri wa sadaka).
Sasa we jichagulie wapi kwa kwenda kupigiwa
huwa nawambia watu ,ukiona unaitwa mtaani tapeli,mwizi na unadunda tambua kwamba serikali inakujua ila inatafuta pakukuunganishia mkanda kuhusu hayo makosa usishangaeKakosa sawa? Ila makosa 178....mbona mengi mno.