Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Ng'ombe zake za kukamua tozo.Waziri wa fedha unafanya ziara kukagua nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ng'ombe zake za kukamua tozo.Waziri wa fedha unafanya ziara kukagua nini?
Musoma, Tanzania
Waziri Mwigulu Nchemba apigwa maswali mazito na wananchi mkoani Mara
Source : Bongo5
Siku 90 kwa watu 200 ni takriban 4.5 bil. Hii mbali ya gharama ya magari ikijumuisha mafuta na maintainance pamoja na vitendea kazi vingine.
Nini hiki mkuu? SijaelewaWakaazi wa Sirari Rorya wasema wanamtambua vizuri hata make na majabali ya mawe kote nchini yaandikwa mwigulu ya kampeni za urais 2015.
Baada ya sofa hizo waelezea fani na kamatakamata inayofanywa na mamlaka za serikali.
Nini hiki mkuu? Sijaelewa
Musoma, Tanzania
Waziri Mwigulu Nchemba apigwa maswali mazito na wananchi mkoani Mara
Wakaazi wa Sirari Rorya wasema wanamtambua vizuri hata make na majabali ya mawe kote nchini yaandikwa mwigulu ya kampeni za urais 2015.
Baada ya sofa hizo waelezea fani na kamatakamata inayofanywa na mamlaka za serikali.
Wananchi waliobeba box 5 thamani yake kwa ujumla shilingi 70,000 wanakamatwa na pia wenye magari wanaosafirisha wafanyabiashara hao wadogo nao wanapigwa fani kwa kubeba mizigo hiyo ya abiria mfano box hizo za sabuni.
Kinachowauma ni kuwa jambo hilo haliwatokei wafanyabiashara wakubwa ....
Source : Bongo5
Musoma, Tanzania
Waziri Mwigulu Nchemba apigwa maswali mazito na wananchi mkoani Mara
Wakaazi wa Sirari Rorya wasema wanamtambua vizuri hata mawe na majabali ya mawe kote nchini yaandikwa mwigulu ya kampeni za urais 2015.
Baada ya sofa hizo waelezea fani na kamatakamata inayofanywa na mamlaka za serikali.
Wananchi waliobeba box 5 thamani yake kwa ujumla shilingi 70,000 wanakamatwa na pia wenye magari wanaosafirisha wafanyabiashara hao wadogo nao wanapigwa fani kwa kubeba mizigo hiyo ya abiria mfano box hizo za sabuni.
Kinachowauma ni kuwa jambo hilo haliwatokei wafanyabiashara wakubwa ....
Source : Bongo5
Kumbukumbu za wananchi wa Sirari wakati Mwigulu Nchemba alipotia nia kugombea urais kuelekea uchaguzi 2015
View attachment 2354863
Haijajulikana mkp sas hii ziara zake zimelenga nn na ikumbuwe kuwa alishkwenda tunduma Tena sijui hiyu jmaa anajiona vip yaan Kam anapendwa sna nani atampa nchiWaziri wa fedha unafanya ziara kukagua nini?
AmekanushaKubana matumizi hawa jamaa hawataki kabisa kuliongelea wala kukosa posho, maVX8, safari zisizo na mguso ktk kuongeza tija kazi zao, fenicha ghali za ofisi kiwango cha kile kibanda cha walinzi cha Tshs. Millioni 11
AmekanushaSiku 90 kwa watu 200 ni takriban 4.5 bil. Hii mbali ya gharama ya magari ikijumuisha mafuta na maintainance pamoja na vitendea kazi vingine.
Hiyo yote kutafuta jibu ambalo tayari linajulikana kuwa tozo haitakiwi.
Safi sana Mwigulu. Hakika wewe kweli ni Dr. Wa uchumi.
Hili nalo nitizamweWaziri wa fedha unafanya ziara kukagua nini?
Ni baada ya maza kuanza kuonyesha kufeli mapemaKampeni zimeanza mapema sana.....
Musoma, Tanzania
Waziri Mwigulu Nchemba apigwa maswali mazito na wananchi mkoani Mara
Wakaazi wa Sirari Rorya wasema wanamtambua vizuri hata mawe na majabali ya (mawe) kote nchini yaandikwa mwigulu rais ktk ya kampeni za urais 2015.
Baada ya sofa hizo waelezea fani na kamatakamata inayofanywa na mamlaka za serikali.
Wananchi waliobeba box 5 thamani yake kwa ujumla shilingi 70,000 wanakamatwa na pia wenye magari wanaosafirisha wafanyabiashara hao wadogo nao wanapigwa fani kwa kubeba mizigo hiyo ya abiria mfano box hizo za sabuni.
Kinachowauma ni kuwa jambo hilo haliwatokei wafanyabiashara wakubwa ....
Source : Bongo5
Kumbukumbu za wananchi wa Sirari wakati Mwigulu Nchemba alipotia nia kugombea urais kuelekea uchaguzi 2015
View attachment 2354863
Halafu haya maigizo yao yote wanayafanyia kanda ya ziwa huko.January nae si alikua na ziara huko hivi karibuni?Waziri wa fedha unafanya ziara kukagua nini?
Bora Mungu alisikia kilio cha Watanzania, huyo angetumaliza woteWala tozo tu za urithi,
Dah! Rest in peace Magufuli
[emoji849]