Musoma: Raia wawatuhumu TRA kugonga raia wakiwa wanafukuza magendo

Musoma: Raia wawatuhumu TRA kugonga raia wakiwa wanafukuza magendo

January makamba alianzia ziara yake mkoa wa Mara , baada ya mwezi mmoja Kaja mwigulu Nchemba mkoa wa
Mara kunanini?

Wagombea watia nia hupenda kwenda kutambika, ngoja tusubiri ikaribie 2025 tunaweza kuelewa safari hizi .
 
Musoma, Tanzania

Waziri Mwigulu Nchemba apigwa maswali mazito na wananchi mkoani Mara



Wakaazi wa Sirari Rorya wasema wanamtambua vizuri hata mawe na majabali ya (mawe) kote nchini yaandikwa mwigulu rais ktk ya kampeni za urais 2015.

Baada ya sofa hizo waelezea fani na kamatakamata inayofanywa na mamlaka za serikali.

Wananchi waliobeba box 5 thamani yake kwa ujumla shilingi 70,000 wanakamatwa na pia wenye magari wanaosafirisha wafanyabiashara hao wadogo nao wanapigwa fani kwa kubeba mizigo hiyo ya abiria mfano box hizo za sabuni.

Kinachowauma ni kuwa jambo hilo haliwatokei wafanyabiashara wakubwa ....

Source : Bongo5


Kumbukumbu za wananchi wa Sirari wakati Mwigulu Nchemba alipotia nia kugombea urais kuelekea uchaguzi 2015

View attachment 2354863
==
Mbele ya Waziri Nchemba Raia mbalimbali wametoa kero zao kwa waziri wa fedha Mwigulu Nchemba ambapo dereva wa taxi amelalamikia kunyimwa leseni na LATRA na kupigwa faini kubwa kila anapokamatwa.

Aidha watu wengine wawili wamelalamikia suala la maafisa wa TRA kuwafukuza raia kwa fuji wakikimbiza magendo hali inayosababisha vifo kwa watu hao.

Raia mwingine amelalamikia fedha za miradi ambazo ni robo ya fedha hizo ndizo hufika kwenye vijiji.

Akijibu kero hizo waziri wa fedha amesema serkali imeyasimia na itayafanyia kazi.

vp kuhusu tozo hajaulizwa?
 
Back
Top Bottom