Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Waasisi wa taifa hili wapo pamoja na mkombozi Lisu.

Yale mafisadi na mauaji na matekaji mwisho wao ni October 28
 
Natumaini alitumia nafasi hio kuomba msamaha kwa kejeli na dharau alizokua anazitoa kuhusu mwalimu Nyerere.

Kuna familia zina moyo wa kusamehe
Wanasiasa hawa sio wa kuwatilia sana maanani wanayopayuka majukwaani.
 
Jiwe
 
Bora Lisu kaenda kuwafariji maana wametengwa na maccm.
Kiufupi mwl angekuwa hai angefurahi pia maana alikuwa anapenda vijana wakosoaji kwa hoja Kama Lisu sio mambo ya kuabudiana
 
Kifupi kulala bila kuomba msamaha mzimu wa Nyerere kwa Matusi ambayo Lisu alitukana Nyerere hakusaidii kitu laana ya Nyerere itamuanndama pili kupinga vitu ambavyo Nyerere alianzisha ikiwemo muungano huubuliopo na kuwa na taifa moja lisilo na majimbo haimsaidii hata alale kitanda alicholala Nyerere
Tatu kuona Lugha ya mkoloni mwingereza ndio muhimu kuliko kiswahili tofauti na Nyerere alivyosisitiza kuwa kama taifa tunabidi tujivunie lugha yetu yeye anaiponda haimusaidii hata angelala kitanda Nyerere alilala na Maria Nyerere au hata akilala kaburini alikozikwa Nyerere

NNE kuweka rehani madini kwa Mabeberu wakopeshaji Nyerere aligoma OK kalala ili apate Selfie!!! Ruksa.Nampongeza kwa Selfie!!

Amemkumbuka Nyerere kama mkumbuka shuka wakati kumekucha hakutakiwa kumponda Nyerere wala vitu vyake kama alikuwa na mpango wa kugombea uraisi

Ndio maana CCM tunasema wazi Lisu hakujiandaa kugombea uraisi .
 
Hapa unamzidishia hasira! Na kwa sababu hiyo, atalazimisha atangazwe yeye ndiye mshindi, hata kama amepata 36%. Na ndizo anazotegemewa kupata, ili aepuke hiyo HUKUMU!
 
Natumaini alitumia nafasi hio kuomba msamaha kwa kejeli na dharau alizokua anazitoa kuhusu mwalimu Nyerere.
Hiyo inaitwa kukumbuka shuka kujifunika wakati kumekucha haimusaidii kamtukana sana Nyerere Lisu mzimu wa Nyerere utahakikisha hashindi
 
Jiwe kafura kanuna kanyong'onyea,kalegea tepetepe baada ya kusikia watoto wa mwalimu wamemuomba Lissu akalale kwao,wakati Jiwe alimforce bi mkubwa wa taifa aende pale mkendo akaongeze idadi ya vichwa.
Kuna mambo unafanya binadamu unatakiwa ujiulize athari zake baadae. Huwezi kumburura kizee kile kikufate walitakiwa wamfate yeye na kama kuna neno la kusema basi walikuwa wamrikodi au wamtayarishie waandishi wamchukuwe mubashara akiwa nyumbani kwake! Jamaa wamejaa kiburi kiasi cha kuwapiga teke watoto wawili wa baba wa Taifa. Lakini hawara zao, wapwa zao, JK x3, Mwinyi×4, Pinda, Ditopile, Makamba hao wote wamepita lakini wa Baba wa Taifa wanalaumiwa wajumbe!
 
Hapo ni mwitongo Lodge sio nyumbani kwa nyerere, hiyo hotel inamilikiwa na madaraka na neema,

..Mwalimu Nyerere angekuwa hai asingefurahi unyama aliotendewa Tundu Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…