Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Matusi na mapovu hayakusaidii kitu comrade. Watanzania wanaimani kubwa sana na CCM na watatupa kura nyingi ili tushinde kwa kishindo.

Eti unafanya nini kwenye bandiko langu nakupa za uso ukajiharishie vizuri.
Mkoa mxima wa Mara, Kagera na kigoma tumeishamkataa huyo muuwaji wenu, na hamtaiba walahi tumejipanga labda mkaibe mtwara hiii kanda tunapeana mafunzo Ya kuhakikisha tumekuwa wa kwanza kutetea watanzania hiyo mikoa mingne itaanza baada Ya kuondoa majeshi huko kutuma huku kwetu na hamtaweza
 


--- both of whom treated us--- or both of them treated us ??.
 
Kwaiyo wewe utafiti wako umeishia kwenye social media tu? Sisi tupo field kamanda tunakutana na watu kila siku inayoenda kwa Mungu tunajua ukweli. Ccm bado sana kutoka madarakani.
 
Hakuna kitu kizuri maishani kama kuwa na furaha,amani ya moyo hao wote nawaona wanafuraha kutoka moyoni, wale wenye roho ya kutu wanaolazimisha kupendwa huwa wanatukera sana, Machozi ya WATANZANIA sasa yanaenda kufutwa
 
Hizo ni porojo tu comrade wala zisikufanye ukaweweseka sana.
 
Siasa isikitoe katika imani ya ewe Yehodaya,unataka kusema na wewe unaamini katika mizimu?
Hiyo inaitwa kukumbuka shuka kujifunika wakati kumekucha haimusaidii kamtukana sana Nyerere Lisu mzimu wa Nyerere utahakikisha hashindi
 
Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa.
hahahaaa.."Baba wa Taifa alizoea vya kunyonga"Tundu Lissu
Hata akilala kaburini kwa baba waTaifa hapati uraisi
 
Wewe nawe usilete ujinga wako hapa usifikiri watu wote wajinga kama wewe Watanzania wanajua Mwenyekiti wa CCM na Mgombea wa Urais na waCCM wote watakuwa wamevimba karibu wapasuke kwa Mh. Lissu kulala kwa Mwenyekiti mwanzilishi. Mwenyekiti wa sasa alipokuwa Musoma hakukaribishwa Butiama akaishia kuamru Mama Maria aletwe mjini aongeze namba ya vichwa vya waliohudhuria mkutano wake wa kampeni na Mama akasema ukweli uliowauthi wanaCCM. Mh. Lissu akishinda Uchaguzi atakuwa Rais wa wote pamoja na wa CCM wachache (diehards) watakaobaki baada ya hilo chama kuzikwa rasmi na Mwenyekiti kurudi Chato kuchunga mifugo baada ya Uchaguzi. Looking forward for the day!
 
Cc Barbarosa
 
Naibu Mwenyekiti wa CHADEMA kulala kwa Mwenyekiti wa CCM mwanzilishi na kuamka salama kuendelea na shughuli zake Chato isingetokea wasiojulikana wangemalizia kazi walioanza na kuboronga maana bado wapo na wanategea wapate upenyo kukamilisha kazi wakachukue chao kilichobaki.
 
Yan wewe mtoa mada inatuona sisi wte ni mang'ombe

Hiyo mwitongo lodge ndio nyumbani kwa baba wa taifa?

Kua serious mzee mama
 
By the way kwenye hii picha ya mwisho naona Tundu Lisu kasimama na beberu mtoa mada naomba unijuze Beberu huyu ni kutoka ubelgiji au Canada?
 
Hii ni habari mpya na inaweza kuleta maana tofauti, Tundu Lissu mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema kupata mwaliko wa malazi na Chakula cha jioni nyumbani kwa baba wa Taifa Marehemu Nyerere kutoka kwa familia yake.

Lingekuwa jambo LA kawaida kama sio kwa CCM kuigeuza familia ya mwalimu kama Mali ya chama (Party property) na kuhodhi hata mambo yao binafsi.

Sasa Leo Mali ya chama imeamua kumuenzi mpinzani mkuu wa mwenyekiti wao bwana Magufuli na kumpa heshima ya kumwalika kwa upendo wote!

Jee hili linaashiria jambo gani? Nafasi ya ccm katika familia hiyo ndio imepotea? Jee wametabiri kuwa huyo Lissu ndio Rais ajaye au ni muendelezo wa "Mapenzi ya Mungu yatimizwe"?

 
Duuhh.. Familia ya Mwalimu haina ubaguzi kabisa naona Madaraka, Neema kama wamejawa na furaha sana, sasa Lissu aombe msamaha hadharani kwa zile kauli zake kuhusu Mwalimu Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…