GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ndio angemkaribisha. Kwani kuna tatizo lolote ndugu yangu???
UkiambiwaMarehemu baba wa taifa ameishatangazwa na kanisa Takatifu Katoliki la Roma kuwa Mwenye Heri hatua ya mwisho kabla kutangazwa Mtakatifu! Sasa kwanini waharibu mchakato na kuonekana wameshindwa kusamehe "waliowakosea" kwa kisa tu cha kumzuia mropokaji mmoja ambaye waziwazi amekuwa akimtukana baba wa taifa?
"Nyerere alizoea kuishi kwa unafiki.....muungano wetu ni wa kinafiki..." Mh. Tundu Antipasi Lissu
Even before kura za maoni za CCM . Familia ya nyerere imejitenga sana na ufedhuli wa Magufuli.Nakubishia tena hadi 'Kiama' kuwa laiti Madaraka Nyerere CCM ingempitisha Kugombea Ubunge Jimbo la Butiama asingethubutu Kuyafanya haya.
Bwashee una uhakika Lisu alilala nyumbani kwa mama Maria?
Rejea na maneno ya mzee Andrew Nyerere wakati anaongelea mama yake kulazimishwa kuja mkutanoni kuongeza vichwaKwa wenye akili, tulivyosikia maneno ya Mzee Butiku kwenye mkutano wa nccr, tukiongeza na maneno ya mama Maria Nyerere kwenye mkutano wa Ccm Musoma alafu tukija kumalizia la Familia ya Nyerere kumruhusu Lissu kulala nyumbani kwa Mwalimu kitaalamu tunasema Nyerere Familly has endorsed Tundu Antiphas Lissu to be the president of URT 2020-2025
Watu bado hawajasahau kuwa Tundu Lissu alimtukana Mwl JK kuwa ni mnafikiMarehemu baba wa taifa ameishatangazwa na kanisa Takatifu Katoliki la Roma kuwa Mwenye Heri hatua ya mwisho kabla kutangazwa Mtakatifu! Sasa kwanini waharibu mchakato na kuonekana wameshindwa kusamehe "waliowakosea" kwa kisa tu cha kumzuia mropokaji mmoja ambaye waziwazi amekuwa akimtukana baba wa taifa?
"Nyerere alizoea kuishi kwa unafiki.....muungano wetu ni wa kinafiki..." Mh. Tundu Antipasi Lissu
Hivi kwenye kura mwenye 3 na mwenye 1 Nani zaidi?Rejea na maneno ya mzee Andrew Nyerere wakati anaongelea mama yake kulazimishwa kuja mkutanoni kuongeza vichwa
Alisema Nyerere kazoea vya kunyonga...Atubu,kwani alishawahi kusema kuwa "Nyerere alizoea kuishi kwa uongo" hii karma itatamtafuna bila kumbakiza
Boss mkuu kwani kumbuka madaraka Nyerere Ni mtanzania na lissu Ni Mtanzania .Hizi 'Hasira' za Madaraka Nyerere kwa Kukosa Kwake kuonekana mwenye uwezo wa kuwa Mbunge wa Butiama na 'Kumrithi' Mzee Nimrod Elirehema Mkono kupitia Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) si tu kwamba kinaweza 'Kumuathiri' Yeye bali wanaweza sasa kujikuta 'Wanamponza' hadi na Mama yao ( Mjane wa Hayati Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere )
Hivi kwa mfano tu ingetokea Madaraka Nyerere 'Kateuliwa' kuwa Mgombea 'Ubunge' wa Jimbo hilo la Butiama kwa Tiketi ya CCM bado tu angemuomba Tundu Lissu 'akatembelee' pale Kwao Mwintongo Butiama na hadi alale? Kitendo hiki 'Kimeshathibitisha' kuwa kumbe kuanzia Wajumbe 'waliommaliza' na hadi Chama cha CCM kutokuwa na Imani nae hawakukosea kwani ni Mnafiki na Mpinzani wa Awamu hii ya JPM.
Sisemi kwamba Madaraka Nyerere alitakiwa au anatakiwa auchukie Upinzani bali hiki Kitendo alichokifanya 'amekurupuka' nacho na Kitamgharimu.
nadhani ndio maana halisi ya Baba wa Taifa .....hata Baba yao aliwakaribisha wote nyumbani kwake na kuna wakati ccm walilalamika yeye kula na wapinzania ,,,...akawajia juu !!Mgombea wa Urais wa CHADEMA amelala Nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa
Kwa heshima anayopewa Baba wa Taifa ndani ya CCM na nchi kwa Ujumla hii haina madhara kwa familia na Chama?
Even before kura za maoni za CCM . Familia nya nyerere imejitenga sana na ufedhuli wa magufuli.
Tafuta hotuba ya Butiku kwenye mkutano mkuu wa kumpitisha mgombea wa NCCR Mageuzi utaniambia.
Akina Nyerere hawana kujikomba komba Kama akina kigwangala na akina nape .Yaani CCM mnategemea mtuwekee mtu muuaji, fedhuli, mzandiki, mwenye chuki, roho mbaya na visa si visivyo vya kawaida alafu mnategemea familia ya Mwl Nyerere imuunge mkono????
Kweli CCM wajinga sana
Acha wivu Comrade hata wewe ukitaka kulala Nyumbani kwa Mwalimu Nyerere tutakupa chumba cha Andrew Nyerere ulale maana hajakitumia muda mrefu kajikita zaidi Msasani.Bwashee una uhakika Lisu alilala nyumbani kwa mama Maria?
Illogical QNHivi kwenye kura mwenye 3 na mwenye 1 Nani zaidi?
Boss mkuu kwani kumbuka madaraka Nyerere Ni mtanzania na lissu Ni Mtanzania .
Jiwe litapita tu hio familia Wala hawezi igusa na untouchable unless anataka kelele toka pande zote na adhihirishe wazi wazi yeye Ni mtu wa namna .
Japo Ina m pain kwa Sasa Ila hatogusa kitu pale trust me
Nadhani familia ya Mwalimu ipo kiupanzani upinzani sana.
Mfano mjukuu wa Nyerere Vicent amewahi kuwa mbunge Musoma kupitia CHADEMA.
Mke wa Madaraka Liticia Nyerere (sasa marehemu )aliwahi kuwa mbunge wa viti maalum Kupitia Chadema.
Makongoro Nyerere aliwahi kuwa nccr mageuzi na akawa mbunge wa Arusha.
Nyerere pia aliwahi kusifia sera za CHADEMA hivo alikufa nusu CCM nusu CDM.