Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Marehemu baba wa taifa ameishatangazwa na kanisa Takatifu Katoliki la Roma kuwa Mwenye Heri hatua ya mwisho kabla kutangazwa Mtakatifu! Sasa kwanini waharibu mchakato na kuonekana wameshindwa kusamehe "waliowakosea" kwa kisa tu cha kumzuia mropokaji mmoja ambaye waziwazi amekuwa akimtukana baba wa taifa?
"Nyerere alizoea kuishi kwa unafiki.....muungano wetu ni wa kinafiki..." Mh. Tundu Antipasi Lissu
Ukiambiwa
Ndebile wewe ni mnafki, hilo ni tusi ?
 
Nakubishia tena hadi 'Kiama' kuwa laiti Madaraka Nyerere CCM ingempitisha Kugombea Ubunge Jimbo la Butiama asingethubutu Kuyafanya haya.
Even before kura za maoni za CCM . Familia ya nyerere imejitenga sana na ufedhuli wa Magufuli.

Tafuta hotuba ya Butiku kwenye mkutano mkuu wa kumpitisha mgombea wa NCCR Mageuzi utaniambia.
 
Kwa wenye akili, tulivyosikia maneno ya Mzee Butiku kwenye mkutano wa nccr, tukiongeza na maneno ya mama Maria Nyerere kwenye mkutano wa Ccm Musoma alafu tukija kumalizia la Familia ya Nyerere kumruhusu Lissu kulala nyumbani kwa Mwalimu kitaalamu tunasema Nyerere Familly has endorsed Tundu Antiphas Lissu to be the president of URT 2020-2025
Rejea na maneno ya mzee Andrew Nyerere wakati anaongelea mama yake kulazimishwa kuja mkutanoni kuongeza vichwa
 
Kwani Lissu siyo mtu hadi azuiliwe malazi kila pahala..
 
Marehemu baba wa taifa ameishatangazwa na kanisa Takatifu Katoliki la Roma kuwa Mwenye Heri hatua ya mwisho kabla kutangazwa Mtakatifu! Sasa kwanini waharibu mchakato na kuonekana wameshindwa kusamehe "waliowakosea" kwa kisa tu cha kumzuia mropokaji mmoja ambaye waziwazi amekuwa akimtukana baba wa taifa?
"Nyerere alizoea kuishi kwa unafiki.....muungano wetu ni wa kinafiki..." Mh. Tundu Antipasi Lissu
Watu bado hawajasahau kuwa Tundu Lissu alimtukana Mwl JK kuwa ni mnafiki
 
Ila tukumbuke Neema na Carlo wana Vyumba walivyotengeneza na vinavyokodishwa kama Hotel pale. Hivyo kwao ni fursa kupata ugeni kama wa Lissu ambaye ana msafara wa kutosha
 
Nadhani familia ya Mwalimu ipo kiupanzani upinzani sana.
Mfano mjukuu wa Nyerere Vicent amewahi kuwa mbunge Musoma kupitia CHADEMA.
Mke wa Madaraka Liticia Nyerere (sasa marehemu )aliwahi kuwa mbunge wa viti maalum Kupitia Chadema.
Makongoro Nyerere aliwahi kuwa nccr mageuzi na akawa mbunge wa Arusha.
Nyerere pia aliwahi kusifia sera za CHADEMA hivo alikufa nusu CCM nusu CDM.
 
Hizi 'Hasira' za Madaraka Nyerere kwa Kukosa Kwake kuonekana mwenye uwezo wa kuwa Mbunge wa Butiama na 'Kumrithi' Mzee Nimrod Elirehema Mkono kupitia Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) si tu kwamba kinaweza 'Kumuathiri' Yeye bali wanaweza sasa kujikuta 'Wanamponza' hadi na Mama yao ( Mjane wa Hayati Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere )

Hivi kwa mfano tu ingetokea Madaraka Nyerere 'Kateuliwa' kuwa Mgombea 'Ubunge' wa Jimbo hilo la Butiama kwa Tiketi ya CCM bado tu angemuomba Tundu Lissu 'akatembelee' pale Kwao Mwintongo Butiama na hadi alale? Kitendo hiki 'Kimeshathibitisha' kuwa kumbe kuanzia Wajumbe 'waliommaliza' na hadi Chama cha CCM kutokuwa na Imani nae hawakukosea kwani ni Mnafiki na Mpinzani wa Awamu hii ya JPM.

Sisemi kwamba Madaraka Nyerere alitakiwa au anatakiwa auchukie Upinzani bali hiki Kitendo alichokifanya 'amekurupuka' nacho na Kitamgharimu.
Boss mkuu kwani kumbuka madaraka Nyerere Ni mtanzania na lissu Ni Mtanzania .

Jiwe litapita tu hio familia Wala hawezi igusa na untouchable unless anataka kelele toka pande zote na adhihirishe wazi wazi yeye Ni mtu wa namna .

Japo Ina m pain kwa Sasa Ila hatogusa kitu pale trust me
 
Mgombea wa Urais wa CHADEMA amelala Nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa

Kwa heshima anayopewa Baba wa Taifa ndani ya CCM na nchi kwa Ujumla hii haina madhara kwa familia na Chama?

nadhani ndio maana halisi ya Baba wa Taifa .....hata Baba yao aliwakaribisha wote nyumbani kwake na kuna wakati ccm walilalamika yeye kula na wapinzania ,,,...akawajia juu !!

Halafu hata kisiasa ilimshinda nini Magufuli hata kwenda tu Butiama wakati huu wa kampeni kusalimia na kuzuru kaburi na badala yake akachagua kuagiza mama maria aburuzwe kuletwa mkutanoni na hata kupangiwa na kina pole pole aseme nini ????
Magufuli huyu huyu kawauwa kisiasa watu wote aliogombea naye urais ndani ya ccm 2015 ...niambieni mmoja tu aliyebaki ambaye hajamuuwa kisiaasa ......
Mwisho hapa kamchuuza Makongoro aende kugombea ubunge huku akijua uchaguzi ule uliojaa rushwa ......na hata baada ya kushindwa hakutaka kumpitisha kama alivyowapotisha aliowataka kina Kunambi ...lengo lake anataka ahakikishe kuwa ikifika 2025 hakuna mpinzani hata ndani ya chama chake .......huyu hakuwa mtu wa kuondoka 2025 lakini atakuwa ameona watu hawamtaki ..na mwaka huu lazima AIBE SANA KURA na bado hazitatosha atatangazwa kibabe ..na mdogo wake baba mmoja mahera
 
Even before kura za maoni za CCM . Familia nya nyerere imejitenga sana na ufedhuli wa magufuli.

Tafuta hotuba ya Butiku kwenye mkutano mkuu wa kumpitisha mgombea wa NCCR Mageuzi utaniambia.

Ndugu Joseph Butiku hana 'Uthubutu' wa 'Kujitenga' na CCM kwani hata hiyo 'Taasisi' yenyewe tu ya Mwalimu Nyerere kwa 60% inasaidiwa mno na Serikali ya Tanzania na kupitia Chama Cha Mapinduzi huku 10% kutoka Serikali ya Uganda ( kwa Rais Museveni ), 10% nyingine kutoka Serikali ya Rwanda ( kwa Rais Kagame ), 10% nyingine kutoka Serikali ya China, 5% nyingine kutoka Serikali ya Afrika Kusini na 5% iliyobakia kutoka Serikali ya Botswana.

Na kwa Kukusaidia tu kwa Faida yako 'Mratibu' Mkuu wa Uhusiano mwema wa Familia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Serikali zote zinazokuja nchini Tanzania ni Mzee Joseph Butiku. Japo Watanzania wengi walikuwa 'wakimsifia' Mwalimu kuwa ni 'Intelligent' ila alikuwa 'akishauriwa' vyema kabisa na hiki 'Kichwa' kilichofundishwa vyema na 'Wayahudi' hasa ile ( Kozi Maalum ) Mzee Joseph Butiku.

Anachokifanya Mzee Butiku ni kuwatia tu Moyo 'Wapinzani' ili 'Demokrasia' itamalaki nchini, ila kamwe hawezi kwenda Kinyume na CCM yake hii hii.
 
Yaani CCM mnategemea mtuwekee mtu muuaji, fedhuli, mzandiki, mwenye chuki, roho mbaya na visa si visivyo vya kawaida alafu mnategemea familia ya Mwl Nyerere imuunge mkono????

Kweli CCM wajinga sana
Akina Nyerere hawana kujikomba komba Kama akina kigwangala na akina nape .

Au mataga crew
 
Boss mkuu kwani kumbuka madaraka Nyerere Ni mtanzania na lissu Ni Mtanzania .

Jiwe litapita tu hio familia Wala hawezi igusa na untouchable unless anataka kelele toka pande zote na adhihirishe wazi wazi yeye Ni mtu wa namna .

Japo Ina m pain kwa Sasa Ila hatogusa kitu pale trust me

Uko sahihi lakini nasikia 'Jamaa' ni 'Bingwa' wa 'Visasi' hata kuliko 'Mtangulizi' wake Yule wa 'Msoga' ambaye 'anakuumiza' huku 'anakuchekea' tu.
 
Nadhani familia ya Mwalimu ipo kiupanzani upinzani sana.
Mfano mjukuu wa Nyerere Vicent amewahi kuwa mbunge Musoma kupitia CHADEMA.
Mke wa Madaraka Liticia Nyerere (sasa marehemu )aliwahi kuwa mbunge wa viti maalum Kupitia Chadema.
Makongoro Nyerere aliwahi kuwa nccr mageuzi na akawa mbunge wa Arusha.
Nyerere pia aliwahi kusifia sera za CHADEMA hivo alikufa nusu CCM nusu CDM.

Nyerere alisifia sera za chadema kwakua baadaye aligundua mshauri wake wa uchumi na waziri wa fedha Edwin Mtei alikuwa sahihi kwenye ushauri aliompa wakagombana ...na ni yeye ndiye alimrecomend Mtei kwenda kuwa Mkurugenzi WORLD BANK ....na hata alivyorudi Alimrecomend Mtei kwa Mwinyi akamteuwa kwenye Tume ya MTEI iliyoshauri mfumo wa kodi na kuunda TRA inayosifika leo
Lakini pia Chadema wasisi wake karibu wote walikuwa watumishi wa serikali waandamizi ambao walikuwa hawakubaliani na Ujamaa na ndio maana sera nyingi za sasa za serikali za Uchumi wa Soko ilikuwa copy and paste ya hizo sera za chadema ambazo Nyerere alizisifia na wakti huo chadema kilikuwa chama kidogo sana , vyama vikubwa vilikuwa CCW[ mapalala], NCCR, UMD etc laki aliwaambia CCM chama kitakachokuja kuwasumbua mbeleni sio hivyo bali ni Chadema

Pia kikubwa ni kuwa chadema wasisi wake hawakuwa na umaskini wa kipato ...walikuwa matajiri ,wasomi au wafanyabiashara ..hivyo hapakuwa na tatizo kubwa la kurubuniwa na kuwekewa vipenyo waharibifu kama vyama vingine ambavyo viongozi wake walikuwa hasa na umasikini hasa wa kipato ....pamoja na kuwa na msimamo mkali walishindwa kujizuia pale serikali ya ccm ilipopenyeza pesa
 
Back
Top Bottom