Uchaguzi 2020 Musoma yarindima Lissu akilakiwa kwa Shangwe kubwa, fomu za dhamana zajazwa

Jiwe kajificha anapanga nitoke vipi

Kapilimba alitoa taarifa ya kijasusi kuonyesha Lissu na Zitto ndio wanasiasa wenye ushawishi zaidi
Kuelekea uchaguzi 2020 akaishia kutumbuliwa sasa ndio naelewa kwamba idara ya usalama wa taifa inajuwa nani rais ajaye.

Atoke vipi kivipi? Imeisha hiyo ndugu yangu. Nchi tunampa Lissu.
 
Hapa si ndo walimpokea Lowassa kwa kudeki barabara halafu wakampongeza kwa kumpa mbunge wa Ccm?
Mathayo Manyinyi Alikua Timu Lowassa pia na hakufanya kampeni kabisa kwa heshima ya Lowassa.

Nadhani umeshaelewa nachomaanisha
 
Sipati picha Mkuu mkija Kanda ya KASKAZINI watu tumejiandaa kweli kweli

Huku tutagalagala haki ya Mungu. watumishi wa umma ndio tutaongoza kumlaki Mh Rais TL. Tumechoka na hii nchi hakuna mfano. Tumaini letu ni Mh Lissu tu.
 
Haijapata kutokea!

Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ameingia Musoma kwa Shangwe kubwa huku mji ukiwa umesimama kupisha ujio wake.

Lissu ambaye Yuko katika ziara ya kusaka wadhamini ameingia mjini Musoma kwa kishindo kikubwa.

Akiwasalimu maelfu kwa maaelfu waliojitokeza kumlaki Lissu ameendelea kumwaga sera kadhaa mojawapo inayovutia wananchi Ni ile ya kutoa Uhuru wa watu kuzungumza, vyama kufanya shughuli za kisiasa na vyombo vya Habari kuwa huru.Pia kufanyia marekebisho makubwa Idara ya Habari Maelezo, TCRA na TRA.

Wachambuzi wa kisiasa hapa Musoma wamesema haijawahi kutokea mwanasiasa akalakiwa na umati mkubwa hivyo katika mji huo tangia nchi ipate Uhuru

Lissu ameueleza umati huo kuwa kwa Sasa anatafuta tu wadhamini na kipindi Cha kampeni ndiyo ataeleza rasmi mustakabali wa nchi yetu .

#Niyeye2020
View attachment 1535143View attachment 1535144
View attachment 1535145
Hakika huyu mtu ni kipenzi cha watu!

Mwenyezi Mungu na amsimamie,
Viva Lissu
 
Magufuli ni binadamu kama tulivyo binadamu wote. Anazo hulka zake kama kila binadamu alivyo na hula zake. Mojawapo ya hulka zake kuu (yaani zinazotawala ubinadamu wake) ni UKATILI. Anaweza kuwa anajijua au la, lakini Magufuli ana hulka ya moyo wa ukatili. Ametumia Katiba yetu hii mbovu kuweka hulka yake katika vitendo. Katiba yetu mbovu inampa uwezo Rais kuwa kama 'mungu mtu'. Na kama ana moyo huu kama alio nao Magufuli, basi watu wengi watateseka ( abuse of power). Watanzania walio wengi wameteseka kimya kimya kwa namna tofauti. Lakini hakuwa na bado hawana pahala pa kupazia sauti kulalamika dhidi ya abuse of power. Wale waliokuwa wajanja, wakajipendekeza na kweli wakala na wanaendelea kula na 'kipofu' (mfano Wabunge na madiwani waliohama vyama vyao vya upinzani ili 'kuunga mkono juhudi').
Hiki tunachokiona na tutaendelea kukiona sana ni wananchi kupata pahala pa kupazia sauti zao, Watanzania wamepata tabu sana katika miaka hii mitano ya ukatili uliovalishwa koti la uzalendo. Sasa wanatema nyongo, chambilecho Waswahili wa kwetu!
Na tunafahamu kabisa kwamba hakuna jinsi ambavyo Tume ya Uchaguzi inavyoweza kutomtangaza kuwa ndiye mshindi wa urais (kwanza, hakuna hata uhakika kama Lissu ataruhusiwa na Tume kugombea), lakini jambo kubwa ama somo kubwa hadi muda huu ni kwamba Magufuli afungue macho na masikio (asikilize sauti kutoka upande mwingine) ili muhula wake wa pili aendelee na jitihada zake za kujenga miundombinu lakini ujenzi huo uambatane na kuwafanyia binadamu wenzie UTU. AACHE UKATILI.
Nadhani hapa hata mazwazwa ya mataga yamekuelewa vzr sn.....

Huu ndio ukweli ndicho kilichowachosha watz ndio maana wanataka mabadiriko
 
Nasikia kuwa Lisu alitetea sana Wana Mara na ugomvi wao na wenye migodi ya dhahabu. Lisu inasemekana alikamatwa na kuteswa sana na serikali ya CCM.

Nina imani kuna mtu atakuja kuilezea hii kwa urefu hapa

Jee kuna ukweli??? Kwenu wana Mara
 
Ni kweli mkuu..... Kuna thread moja ilipostiwa 2016 inaelezea historia ya Tundu Lissu ukisoma utatamani kulia maana Jamaa anatetea watz na raslimali za nchi tangu akiwa mdogo sana......
 
Haijapata kutokea!

Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ameingia Musoma kwa Shangwe kubwa huku mji ukiwa umesimama kupisha ujio wake.

Lissu ambaye Yuko katika ziara ya kusaka wadhamini ameingia mjini Musoma kwa kishindo kikubwa.

Akiwasalimu maelfu kwa maaelfu waliojitokeza kumlaki Lissu ameendelea kumwaga sera kadhaa mojawapo inayovutia wananchi Ni ile ya kutoa Uhuru wa watu kuzungumza, vyama kufanya shughuli za kisiasa na vyombo vya Habari kuwa huru.Pia kufanyia marekebisho makubwa Idara ya Habari Maelezo, TCRA na TRA.

Wachambuzi wa kisiasa hapa Musoma wamesema haijawahi kutokea mwanasiasa akalakiwa na umati mkubwa hivyo katika mji huo tangia nchi ipate Uhuru

Lissu ameueleza umati huo kuwa kwa Sasa anatafuta tu wadhamini na kipindi Cha kampeni ndiyo ataeleza rasmi mustakabali wa nchi yetu .

#Niyeye2020
View attachment 1535143View attachment 1535144
View attachment 1535145
Hapa usalama.wa Lissu naona unaweza kuwa Finyu. Tafadhalini Watu wa Kitengo ndani ya Chadema hakikisheni hakuna Raia anagusa Mwili wa LISSU by direct contact. Msimwamini mtu yeyote.
 
Ni kweli mkuu..... Kuna thread moja ilipostiwa 2016 inaelezea historia ya Tundu Lissu ukisoma utatamani kulia maana Jamaa anatetea watz na raslimali za nchi tangu akiwa mdogo sana......
ooh sawa sawa
Basi jamaa kajiwekea asset kubwa kweli..ndio maana wamempokea kama mfalme.

Kila la kheri kwake,Hongera wanaMara
 
Mtafurahishwa kama alivyofurahishwa gaddaf. Manina. Ulimwengu mzima unajua sisiemu haikubaliki na rais wenu hakubaliki
 
Jiwe kajificha anapanga nitoke vipi

Kapilimba alitoa taarifa ya kijasusi kuonyesha Lissu na Zitto ndio wanasiasa wenye ushawishi zaidi
Kuelekea uchaguzi 2020 akaishia kutumbuliwa sasa ndio naelewa kwamba idara ya usalama wa taifa inajuwa nani rais ajaye.
Jpm mmoja ni Lissu 4
 
Haijapata kutokea!

Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ameingia Musoma kwa Shangwe kubwa huku mji ukiwa umesimama kupisha ujio wake.

Lissu ambaye Yuko katika ziara ya kusaka wadhamini ameingia mjini Musoma kwa kishindo kikubwa.

Akiwasalimu maelfu kwa maaelfu waliojitokeza kumlaki Lissu ameendelea kumwaga sera kadhaa mojawapo inayovutia wananchi Ni ile ya kutoa Uhuru wa watu kuzungumza, vyama kufanya shughuli za kisiasa na vyombo vya Habari kuwa huru.Pia kufanyia marekebisho makubwa Idara ya Habari Maelezo, TCRA na TRA.

Wachambuzi wa kisiasa hapa Musoma wamesema haijawahi kutokea mwanasiasa akalakiwa na umati mkubwa hivyo katika mji huo tangia nchi ipate Uhuru

Lissu ameueleza umati huo kuwa kwa Sasa anatafuta tu wadhamini na kipindi Cha kampeni ndiyo ataeleza rasmi mustakabali wa nchi yetu .

#Niyeye2020
View attachment 1535143View attachment 1535144
View attachment 1535145
Chadema siku wakielewa siasa za Tanzania, ndio tutawapa elimu ya uraia.
 
CCM kupambana kwa hoja na Lissu hawataweza, watakachofanya ni kuangalia namna ya kumwengua kwenye mchakato kwa kutumia vyombo vyao yaani Tume ya uchaguzi mahakama..hii ndiyo the last option aliyonayo kwa sasa.!!

Watu wametendwa sana na hususani wanaccm wenyewe yaani huyu Lissu yupo nyuma na wanaccm wengi sana tena wanaojua siasa. Nadhani kwanza tume ya uchaguzi wawe makini sana .

Pili mkulu amekuwa wa ukanda sana angalia mangosha walivyokula shavu yaaani wa kutosha

Ni mkulu wa kwanza kuweka uwanja wa ndege kwao kama seseseko mabutu alivyofanya na haya wale kindakindaki wanayaona na wanakereka sana.

Kudharau uongozi tangulizi nalo limekuwa jambo lisilo na heshima kabisa.
 
Haijapata kutokea!

Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ameingia Musoma kwa Shangwe kubwa huku mji ukiwa umesimama kupisha ujio wake.

Lissu ambaye Yuko katika ziara ya kusaka wadhamini ameingia mjini Musoma kwa kishindo kikubwa.

Akiwasalimu maelfu kwa maaelfu waliojitokeza kumlaki Lissu ameendelea kumwaga sera kadhaa mojawapo inayovutia wananchi Ni ile ya kutoa Uhuru wa watu kuzungumza, vyama kufanya shughuli za kisiasa na vyombo vya Habari kuwa huru.Pia kufanyia marekebisho makubwa Idara ya Habari Maelezo, TCRA na TRA.

Wachambuzi wa kisiasa hapa Musoma wamesema haijawahi kutokea mwanasiasa akalakiwa na umati mkubwa hivyo katika mji huo tangia nchi ipate Uhuru

Lissu ameueleza umati huo kuwa kwa Sasa anatafuta tu wadhamini na kipindi Cha kampeni ndiyo ataeleza rasmi mustakabali wa nchi yetu .

#Niyeye2020
View attachment 1535143View attachment 1535144
View attachment 1535145
Asante sana makamanda wa Mara!
 
Lowassa hamna kitu pale
... Ha ha ha! Lowassa mhula wote wa kampeni 2015 alikuwa na neno moja ambalo akipanda jukwaani analitamka mara tatu tu na hotuba inakuwa imeisha anasaidiwa kuwaaga wananchi; ELIMU, ELIMU, ELIMU. Kweli hamna kitu pale.
 
Back
Top Bottom