Uchaguzi 2020 Musoma yarindima Lissu akilakiwa kwa Shangwe kubwa, fomu za dhamana zajazwa

Uchaguzi 2020 Musoma yarindima Lissu akilakiwa kwa Shangwe kubwa, fomu za dhamana zajazwa

Hawa ndugu zangu wa Musoma siwezi kuwashangaa huwa wanafanya vitu extra ordinary kwani waliwahi kupiga deki barabara aliyopita Lowasa na kutandika kanga wengine walisomba mchanga alipokanyaga Lowasa usishangae hii ya leo
 
Pia kitachopelekea mikutano ya kampeni kujaa watu jobless ni wengi sana,MTU anasisitiza fanyeni kazi wakati fursa kabana
 
ooh sawa sawa
Basi jamaa kajiwekea asset kubwa kweli..ndio maana wamempokea kama mfalme.

Kila la kheri kwake,Hongera wanaMara
Kiukweli kutoka moyoni Lissu ni mzalendo halisi sio hawa wahuni hata ufisadi wote ulioibuliwa bungeni maccm yote yalikua yanautetea hadi pale tume huru zilipoundwa......

Maccm ni mashetani
 
Mungu asimame naye kwa kweli maana kuchukua dola sio mchezo

Kuna mtangazaji alisema kabisa kwamba Lisu akitua hapa nchini sasa siasa na joto lake zitabadilika. Ni kweli siasa zimebadilika natamani nimwone yule mtangazaji aliona mbali sana.
Chadema mlindeni lisu japo yeye amejitoa fisabililah naombeni sana mmlinde huyu mtu na hata msiruhusu kupeana mikono ovyo hovyo na watu you never know . Pia asiwe anasimama kwa gari anapungia watu its so bad zama hizi zimebadilika sana . Awe yeye ni jukwaani tu hebu zidisheni ulinzi kwake.
Huyu sasa anapendwa mpaka na maaskari maana ndugu zao wameonewa sana katika kipindi hiki.
 
Una uhakika? mbona anakimbiakimbia akiitwa kwa mahojiano ya kina?? jamaa kalamba mke wa mtu katandikwa shaba anaona aibu kuja hadharani na dereva wake kutoa statement!! Ukiwete wa kujitakia, narudia tena, Tz Hatujawahi, hatutawahi, na haitakaa itokee tuwe na amiri jeshi kiwete, povu ruksaa
Wewe ulishaacha ushoga?
 
Hawa watu ni wakuwa nao makini 2015 walipiga deki njia Lowasa apite kilichomtokea hatakaa akisahau
 
Hawa watu ni wakuwa nao makini 2015 walipiga deki njia Lowasa apite kilichomtokea hatakaa akisahau
Kitengo kilifanya kazi yake alafu yule jamaa aliyetoka Israel kwa kazi maalumu alifeli sehemu jamaa wakafanikiwa kupiga bao la kiwiko cha mkono
 
Yani kama CHADEMA haikuchukua nchi wakati wa Lowassa sidhani kama itaweza mara hii kwa maana Lowassa alikuwa na nyomi la kufa mtu, Serikali ndiyo ile ile, NEC ndiyo ile ile, Polisi ndiyo wale wale
Umepanick Bro, hiyo sio kampeini Lisu anatafuta wadhamini tuu!!
Subiri uone kampeini sasa utazimia wee!!
 
Back
Top Bottom