Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli kutoka moyoni Lissu ni mzalendo halisi sio hawa wahuni hata ufisadi wote ulioibuliwa bungeni maccm yote yalikua yanautetea hadi pale tume huru zilipoundwa......ooh sawa sawa
Basi jamaa kajiwekea asset kubwa kweli..ndio maana wamempokea kama mfalme.
Kila la kheri kwake,Hongera wanaMara
Ma bloo wanajijuaBloo ndio nini wewee?
Mungu asimame naye kwa kweli maana kuchukua dola sio mchezoMusoma imesimama kwa muda aloo Lissu ndiye raisi ajaye watu hapa musoma mjini wanaulizana jamaa alikuwaga wapi siku zote
Mungu asimame naye kwa kweli maana kuchukua dola sio mchezo
Mbona mamako japo ni nlemavu,lakini alikuleta duniani!!??Aliyekuloga kafa, hatujawahi, hatutawahi, na haitakaa itokee tuwe na rais kiwete na kichaa nchi hii
Wewe ulishaacha ushoga?Una uhakika? mbona anakimbiakimbia akiitwa kwa mahojiano ya kina?? jamaa kalamba mke wa mtu katandikwa shaba anaona aibu kuja hadharani na dereva wake kutoa statement!! Ukiwete wa kujitakia, narudia tena, Tz Hatujawahi, hatutawahi, na haitakaa itokee tuwe na amiri jeshi kiwete, povu ruksaa
Ni "YEYE"Picha tafadhali ni muhimu sana kwa ajili ya kumbukumbu na matomaso
Kitengo kilifanya kazi yake alafu yule jamaa aliyetoka Israel kwa kazi maalumu alifeli sehemu jamaa wakafanikiwa kupiga bao la kiwiko cha mkonoHawa watu ni wakuwa nao makini 2015 walipiga deki njia Lowasa apite kilichomtokea hatakaa akisahau
Umepanick Bro, hiyo sio kampeini Lisu anatafuta wadhamini tuu!!Yani kama CHADEMA haikuchukua nchi wakati wa Lowassa sidhani kama itaweza mara hii kwa maana Lowassa alikuwa na nyomi la kufa mtu, Serikali ndiyo ile ile, NEC ndiyo ile ile, Polisi ndiyo wale wale