Must see Movies

Hii Troll ina action mkuu
 
The Last Duel (2021): Based on true events.
Jamaa mke wake anabakwa katika kukosa haki yake mahakamani, anakata rufaa mpaka kwa Mfalme then mfalme anatoa ruksa ya kumaliza tofauti zao kwa kupigana mpaka kifo. Endapo jamaa atapoteza basi mke wake anachomwa moto kwa kosa la uongo!! Na endapo mbakaji angeshinda basi angekuwa "innocent in the eyes of God"
 
Fatherhood (2021): Comedy / Drama
Kelvin Hart anafiwa na mke wake baada ya kujifungua anabaki analea mtoto mwenyewe. View attachment 2440803
Hii ni movie nzuri sana. Ila naona casting walikosea. Kevin hakutakiwa ku act vile alivyo act. Hii movie iliihitaji mtu aliye serious muda wote asiwe yeye mwenye ku initiate jokes. Movie ilitakiwa iwe ya simanzi na ku represent single fathers wote wanaolea watoto peke yao baada ya wake zao kufa kwa sababu mbalimbali.
Kwa mawazo yangu ingetakiwa kukutanisha single fathers wengi kama watatu au wanne hivi halafu visa vyao vipewe focus. Kama walivyo fanya ktk ile ya wanawake ya Janet Jackson, Whoopy inaitwa sijui Purple nimeisahau kidogo. The movie wasn't meant to be a semi comic one
 
Mkuu naamini wao wenyewe kwanza walitaka iwe na kuchekesha kidogo ndani yake hawakutaka iwe movie ya majonzi muda wote ndio maana wakamuweka KH na ndio maana hata ukicheki genre wamesema kabisa ni comedy.
Hata hivyo naona amecheza vizuri pia nyakati za kutoa majonzi amevaa uhusika vizuri as well as nyakati za jokes pia.

Matukio mengi mule ni ya kuchekesha na Kelvin analitendea haki hilo eneo, kwangu naona sio mbaya! Mtu ambaye hajanipendeza ni yule mzungu mwenye kipara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…