Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Umeshaharibu 1GB yangu😕😕😕😕😕hakika mkuu sema mikono hakuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshaharibu 1GB yangu😕😕😕😕😕hakika mkuu sema mikono hakuna
Hii Troll ina action mkuuKama unapenda Thriller ingia Netnaija, download "Texas Chainsaw Massacre", na hutojutia. Ni MB chache sana 152.63MB.
Action kali nilizoziona mwaka huu kwangu mimi ni
The Man From Toronto 2022
The Woman King 2022
Day Shift 2022
Carter 2022
Doctor Strange:The Multiverse of Madness 2022
Bullet Train 2022
Uncharted 2022
Jurassic World 2022
The Blackout 2022
Troll 2022
Seoul Vibe 2022
The Roundup 2022
Beast 2022 (Universal pictures)
Minions: Rise of Gru 2022 (Animation)
Paws of Fury 2022: The Legend of Hank (Animation)
The Bad Guys 2022 (Animation)
Kwangu mimi hizo ndo muvi za action nilizozikubali, pengine nyingi tayari umeshaziona. Ukipata muda download na hii Comedy Drama ya " LIE HARD" kastori kake kanakosha pia, na ni less than 200MB
Hapana mpaka mwaka 2024Wakuu nasikia Rush Hour 4 imetoka??[emoji15][emoji15]
Troll ni horror, nimechanganya mkuuHii Troll ina action mkuu
Tutatafta kitu moja tamu ya kuripizia [emoji23] #PoleSana .Umeshaharibu 1GB yangu[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
Mkuu ushaangalia hiyo "Emancipation"Wadau kwa alieona hiki kigongo vp imetulia au niicancel mapema?? View attachment 2446511View attachment 2446512
Nilistop mpaka leo sijaiendeleza vp ni kali?Mkuu ushaangalia hiyo "Emancipation"
Inaonekana inahusiana na mambo ya utumwa wa mtu mweusi huko Marekani. Nimecha kuangalia mwanzoni tu baada ya kuona ni black and white. Ila naona itakuwa poa baadae subir niirudie tenaNilistop mpaka leo sijaiendeleza vp ni kali?
Hii ni movie nzuri sana. Ila naona casting walikosea. Kevin hakutakiwa ku act vile alivyo act. Hii movie iliihitaji mtu aliye serious muda wote asiwe yeye mwenye ku initiate jokes. Movie ilitakiwa iwe ya simanzi na ku represent single fathers wote wanaolea watoto peke yao baada ya wake zao kufa kwa sababu mbalimbali.Fatherhood (2021): Comedy / Drama
Kelvin Hart anafiwa na mke wake baada ya kujifungua anabaki analea mtoto mwenyewe. View attachment 2440803
Don't BreathWadau eeh movie gan ya 2022 yaan ina action za kutosha au horrors kama zipo maana siwaelew netflix na netnaija
Ina action au no horror ?Don't Breath
Mkuu naamini wao wenyewe kwanza walitaka iwe na kuchekesha kidogo ndani yake hawakutaka iwe movie ya majonzi muda wote ndio maana wakamuweka KH na ndio maana hata ukicheki genre wamesema kabisa ni comedy.Hii ni movie nzuri sana. Ila naona casting walikosea. Kevin hakutakiwa ku act vile alivyo act. Hii movie iliihitaji mtu aliye serious muda wote asiwe yeye mwenye ku initiate jokes. Movie ilitakiwa iwe ya simanzi na ku represent single fathers wote wanaolea watoto peke yao baada ya wake zao kufa kwa sababu mbalimbali.
Kwa mawazo yangu ingetakiwa kukutanisha single fathers wengi kama watatu au wanne hivi halafu visa vyao vipewe focus. Kama walivyo fanya ktk ile ya wanawake ya Janet Jackson, Whoopy inaitwa sijui Purple nimeisahau kidogo. The movie wasn't meant to be a semi comic one
Ndo nmemaliza apa kuicheck Polar jamaa ni assassin kwelikweli anagonga mkono dunia ya mwisho[emoji16][emoji119]. Kuna manzi mbususu kaliwa na bado kala kishoka cha kichwa ***** akafe mbelePolar ni mziki mnene ladha za kina johnwick najiuliza ndie aliyecheza muvi ya no body? NtYga
Actions zimeshiba mpaka unaridhika mwenyewe. Bandika banduaNdo nmemaliza apa kuicheck Polar jamaa ni assassin kwelikweli anagonga mkono dunia ya mwisho[emoji16][emoji119]. Kuna manzi mbususu kaliwa na bado kala kishoka cha kichwa ***** akafe mbele
Jamaa anagonga balaa kama John wick au yule mchizi wa NobodyActions zimeshiba mpaka unaridhika mwenyewe. Bandika bandua
John wick, mzee wa Taken na yule babu wa Nobody nawakubali sanaJamaa anagonga balaa kama John wick au yule mchizi wa Nobody
Iko vizuri kama unapenda movie za historia ya utumwa kule Marekani...inahusiana na matukio ya kweli yaliyowahi kutokea ...Wadau kwa alieona hiki kigongo vp imetulia au niicancel mapema?? View attachment 2446511View attachment 2446512