Must see Movies

Tommy ndio tafsir halisi ya mastermind.
 
Unaishi wapi?
 
Yani katika Movie zote hapo sijaangalia
ila naona hamnaga kitu kama Peaky Blinders, pia kwakua ni ya waingereza hawanaga sana ule usela mavi mavi
Cilian Murphy ameitendea haki sana nafasi yake zaidi ya sanaa, Yani Thomas ni mtu fulani makini sana
Peaky blinders ni hatari Sana, sema Kuna scenes ziliniuma, vipi umeangalia blacklist ?? princess ariana
 
Mimi sasa ndio huwa sishawishiki na Filamu zinazoshika vichwa vya habari mfano tu hiyo GAME OF THRONES mpaka Leo hata trailer tu sijawahi fuatilia.
Black Panther ya kwanza nimeiona mwaka Jana, tena baada ya mdogo angu kuja nayo Ghetto alikuwa anatizama, hii ya Pili nilikuwa nina mpango nayo ila baada ya Introsagvert kusema kuna Character wana mabawa miguuni nishapuuzia [emoji23].

Ujue Filamu kama hizo zinaumiza moyo sana unapokuwa ushajiandaa kwamba nacheck bonge la filamu, ila unachoenda kukutana nacho ni tofauti na ulichosimuliwa yani ni zile filamu zinapakwa asali nyingi kama Lugha za vijana wa Dar es salaam [emoji1787][emoji23].
 
Achana na Introsagvert mkuu hizo ni preference zake tu[emoji16][emoji16]
 
Mi niliipotezea baada ya kusoma sehem kuwa ni comedy flan nikaamua kuachana nayo Kumbe ina vitu poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…