Must see Movies

Hiyo saving private Ryan. Kuna yule shooter anaeitwa pvt Jackson. Mwamba kabla hajamdungua adui, anashusha mstari wa kwenye biblia. Hii movie ilikua na uhalisia sana.

Pale mwanzoni kuna mwanajeshi kapigwa bomu, utumbo umetoka nje kaushikilia analia huku anasema anamtaka mama yake.
 
[emoji23][emoji23]asee kaka serious hukuiona hii movie
Muvi zenye promo sana huwa sio nzuri ila muvi kama hizo za kimyakimya unaweza kurudia hata mara 3 kuiangalia.
Angalia muvi hizi zilizokuwa na promo la kutosha uliangalia mara moja hutamani tena
Avatar
Creed
Operation fortune
Black Adam
N.k

Ila no body
Polar
Salt
Agent 47 unrated
White house down
Lone survivor
Na nyinginezo unaweza kuzirudia
 
Zote zina ladha ya kipekee. Labda kama umesahau mziki wa polar
Naikumbuka kaka mwanzo mwisho sema nilichoipa heshima Nobody kwanza umo ndani hamna mambo ya ajabu kama vile mwanamke kupewa mike atume salam,mambo ya kufa uku ndonga ipo on mara sex za ajab ajab, Mule ni mkono tu unakuta wale mafia waliona tattoo ya mzee wakakumbuka wapo na mtu wa aina gani ikabidi wajifungie ndani hawataki ushahidi[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…