Must see Movies

Must see Movies

Vipi ka muvi /series kenye mkono toleo la hivi karibuni hamna?
Nobody 2021
Hii nataka niishushe leo, naona ina ratings nzuri IMDb 7.4/10
images%20(10).jpg
 
Godfather
Goodfellas
Scarface
Scent of women
Peaky blinders
Life in Oz
Better call saul
Breaking bad
Lamborghin
Taboo
Ozark
Fury
Saving private ryan
Rocky
Saw
Hacksaw ridge
300 spartans
Lost
Leegend of seeker
Expendables


Hizi movie huwa nazirudia sijui kwanini nahisi nnatatzo la afya ya akili
Hiyo saving private Ryan. Kuna yule shooter anaeitwa pvt Jackson. Mwamba kabla hajamdungua adui, anashusha mstari wa kwenye biblia. Hii movie ilikua na uhalisia sana.

Pale mwanzoni kuna mwanajeshi kapigwa bomu, utumbo umetoka nje kaushikilia analia huku anasema anamtaka mama yake.
 
[emoji23][emoji23]asee kaka serious hukuiona hii movie
Muvi zenye promo sana huwa sio nzuri ila muvi kama hizo za kimyakimya unaweza kurudia hata mara 3 kuiangalia.
Angalia muvi hizi zilizokuwa na promo la kutosha uliangalia mara moja hutamani tena
Avatar
Creed
Operation fortune
Black Adam
N.k

Ila no body
Polar
Salt
Agent 47 unrated
White house down
Lone survivor
Na nyinginezo unaweza kuzirudia
 
Zote zina ladha ya kipekee. Labda kama umesahau mziki wa polar
Naikumbuka kaka mwanzo mwisho sema nilichoipa heshima Nobody kwanza umo ndani hamna mambo ya ajabu kama vile mwanamke kupewa mike atume salam,mambo ya kufa uku ndonga ipo on mara sex za ajab ajab, Mule ni mkono tu unakuta wale mafia waliona tattoo ya mzee wakakumbuka wapo na mtu wa aina gani ikabidi wajifungie ndani hawataki ushahidi[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom