Must see Movies


Kweli asee kama hyo black adam nimeona tu trailer lake sijataka poteza mb zangu hizo zingine sio za kuzirudiarudia
 
Kuna mwana mwingine alipigwa shaba ikadunda kwenye kofia akasema Jesus Luck bastard akaivua kwa wenge akala shaba Sekunde tu[emoji16]
 
Kama hiyo White House Down sio poa[emoji106]
 
Guardians of the Galaxy vol. 3
Mzigo ushatoka. Ila ni cam version tu. Ipo clean sana ila ina mb za kutosha[emoji16]
 
Greenland ya Butler ushaicheki?!
Ninayo yaani nikionaga tu movie ya Butler nadownload kwanza then ntaamua nifute baadae au laa mfano hyo Greenland,Fallen zote, Hunter killer,Plane sijazifuta ila kuna hizi The vanishing,Dean of Thieves, last seen alive,Cop Shop nilivyomaliza niliziona za kawaida nikafuta.
 
Yeah zipo nyingine ni hovyo kwa kweli. Mfano Ritual Killer nae Morgan amecheza!
 
Ayo maneno "One of the best action film in over decade" Hawajakosea kabisa uyo dingi(SAUL GOODMAN) ni anaponda sio kupiga
nimecheki trailer nione hivyo vipondo, daaah nikajua mambo ya akina jai white , Scott Adkins ama iko uwais


kumbe ni vile, basi kwangu hamna vipondo humo.
 
nimecheki trailer nione hivyo vipondo, daaah nikajua mambo ya akina jai white , Scott Adkins ama iko uwais


kumbe ni vile, basi kwangu hamna vipondo humo.
Inaonrkana hujui vipondo wewe. Huwezi kuroli sarakasi uko ndani ya basi umezungukwa na vibaka. Utakachofanya ni kupiga kwenye maeneo muhimu ili umalize pambano mapema. Kila anayefikiwa na mkono wako inatakiwa ajifikirie mara mbili kabla hajakuvagaa tena.

Nami nakazoa Hiyo muvi inavipondo
 
[emoji23][emoji23]kwa maelezo haya mafupi lazima aelewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…