Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Muvi zenye promo sana huwa sio nzuri ila muvi kama hizo za kimyakimya unaweza kurudia hata mara 3 kuiangalia.
Angalia muvi hizi zilizokuwa na promo la kutosha uliangalia mara moja hutamani tena
Avatar
Creed
Operation fortune
Black Adam
N.k
Ila no body
Polar
Salt
Agent 47 unrated
White house down
Lone survivor
Na nyinginezo unaweza kuzirudia
Kweli asee kama hyo black adam nimeona tu trailer lake sijataka poteza mb zangu hizo zingine sio za kuzirudiarudia