Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Action za kwenye hii movie ya Nobody sio exaggerated yaani sio fictitious Sana.nimecheki trailer nione hivyo vipondo, daaah nikajua mambo ya akina jai white , Scott Adkins ama iko uwais
kumbe ni vile, basi kwangu hamna vipondo humo.
acha uongo weweInaonrkana hujui vipondo wewe. Huwezi kuroli sarakasi uko ndani ya basi umezungukwa na vibaka. Utakachofanya ni kupiga kwenye maeneo muhimu ili umalize pambano mapema. Kila anayefikiwa na mkono wako inatakiwa ajifikirie mara mbili kabla hajakuvagaa tena.
Nami nakazoa Hiyo muvi inavipondo
mzee iko uwais , jackie chan,Tony jaaAction za kwenye hii movie ya Nobody sio exaggerated yaani sio fictitious Sana.
Ni action ambazo zinaweza hata kutokea kwenye real life.
Lakini Iko Uwais action zake zina fiction ya kutosha na zimetiwa chumvi balaa ndio maana muvi zake ni ngumu kukuta anaharibu.
Hata hivyo hiyo Nobody kwa upande wangu iko poa, tena ukizingatia imetoka miaka hii ya 2020s miaka ambayo muvi za action nyingi ni za ovyo.
Nobody ni movie nzuri
hamna vipondo humo[emoji23][emoji23]kwa maelezo haya mafupi lazima aelewe
Old movies, Mimi ni mgeni sana kwenye moviesmzee iko uwais , jackie chan,Tony jaa
hawa wameanzia kwenye stuntman
hopely unaelewa maana ya stunt man
unachkiona kwnye actions zao asilimia 97 ni kweli
hivi unahabari ile predator(1987) ya Arnold kuna mahali yalitumika mabomu ya ukweli??
Bado mkuu mpk june 7, hiz movie za transformers hata sizielew lakinWakuu Transformers rise of the beasts 2023 imesha toka?
Shang Chi Sci-Fi nyingi sana mkono wake huwezi sema sawa na Nobodyacha uongo wewe
movie tu ya shang-chi and the legend of ten rings
kwenye bus kuna mateke yakufa mtu
kma hujui uliza.
Sijui kwa nini jamaa anashindwa kuwa mwelewaShang Chi Sci-Fi nyingi sana mkono wake huwezi sema sawa na Nobody
Kuna kitu umesema "exaggeration" tuko pamoja hapo[emoji106]. Kwa ufupi movie ya mzee haina stunts nyingi ambazo zinakosa uhalisia in real life. Mfano ukiangalia kama filamu za kichina, kuna stunts nyingi sana mpaka unahisi kama kamba au labda kwa sababu sisi sio martial artists!Old movies, Mimi ni mgeni sana kwenye movies
Nimemuongelea Iko Uwais kwa ku-refer movie zake za The Raid (1 and 2) na The Night Comes for Us
Kwa mtazamo wangu ninaona ziko too exaggerated ukilinganisha na Nobody
Actions za Iko Uwais ni mgumu sana kufanyika in real life. Sijawahi ona watu watu wanapigana vile, Ila action za kwenye Nobody hata kwenye reality zinaweza kufanyika
Exaggeration kwenye movies za Iko Uwais ndio zinafanya nizipende sana movie zake
I like blood na mambo kibao kwenye movie za Iko Uwais
The Night Comes for Us nairudia kila siku
sema ninyi ndo hamjawahi ona on real lifeOld movies, Mimi ni mgeni sana kwenye movies
Nimemuongelea Iko Uwais kwa ku-refer movie zake za The Raid (1 and 2) na The Night Comes for Us
Kwa mtazamo wangu ninaona ziko too exaggerated ukilinganisha na Nobody
Actions za Iko Uwais ni mgumu sana kufanyika in real life. Sijawahi ona watu watu wanapigana vile, Ila action za kwenye Nobody hata kwenye reality zinaweza kufanyika
Exaggeration kwenye movies za Iko Uwais ndio zinafanya nizipende sana movie zake
I like blood na mambo kibao kwenye movie za Iko Uwais
The Night Comes for Us nairudia kila siku
sasa vile ndo vipondo sasa.Shang Chi Sci-Fi nyingi sana mkono wake huwezi sema sawa na Nobody
unapenda horror sio??Jamani ile movie kali kuliko zote za Horror and thriller imetoka online leo
Evil Dead Rise [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Evil Dead Ndio movie yangu bora ya muda wote [emoji91][emoji91]
Aina hiyo ya The Ring, conjuring, the nun, lights out etc ndo aina ya movies za Horror and thriller nazozipenda ila movies kama wrong turn Sio movie zangu hizo.unapenda horror sio??
mimi hzo evil dead nimezikubali zile za kwanza za Bruce Campbell ( 1982, 1987, 1992)
ya 4 niliona ya kiboya tu , sijui hyo ya 5 itakuwaje...
halafu ushacheki mizigo ya The ring( remake of Ringu)
kma bdo icheki aisee zipo 3View attachment 2616355
Ring kumbe zipo 3, mm nadhani nmeangalia 2unapenda horror sio??
mimi hzo evil dead nimezikubali zile za kwanza za Bruce Campbell ( 1982, 1987, 1992)
ya 4 niliona ya kiboya tu , sijui hyo ya 5 itakuwaje...
halafu ushacheki mizigo ya The ring( remake of Ringu)
kma bdo icheki aisee zipo 3View attachment 2616355
Hiyo muvi ndo inakudanganya wewe wataalamu wa martial arts hawana muda wa sarakasi kwenye basi. Halafu kwani huyo mzee hakurusha mateke?acha uongo wewe
movie tu ya shang-chi and the legend of ten rings
kwenye bus kuna mateke yakufa mtu
kma hujui uliza.
Mbona mrejesho haukujaKaka nishaipakua ntakuletea mrejesho[emoji16]
Mkuu bado sijaiangalia, nilikuwa namalizia viporo kwanza. Ila leo usiku nitaicheki[emoji16]Mbona mrejesho haukuja
Nenda karudie action za Arian na Ito kwenye The Night Comes for Ussema ninyi ndo hamjawahi ona on real life
Tony mkongo ushawahi muona wakiwa tiz??
hyo mambo ya akina iko yanafanyika mtaani
nenda hpo mabibo mwisho kuna akina bruce Lee wanapigana the same
humo kwnye nobody hamna vipondo.