Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Action za kwenye hii movie ya Nobody sio exaggerated yaani sio fictitious Sana.nimecheki trailer nione hivyo vipondo, daaah nikajua mambo ya akina jai white , Scott Adkins ama iko uwais
kumbe ni vile, basi kwangu hamna vipondo humo.
Ni action ambazo zinaweza hata kutokea kwenye real life.
Lakini Iko Uwais action zake zina fiction ya kutosha na zimetiwa chumvi balaa ndio maana muvi zake ni ngumu kukuta anaharibu.
Hata hivyo hiyo Nobody kwa upande wangu iko poa, tena ukizingatia imetoka miaka hii ya 2020s miaka ambayo muvi za action nyingi ni za ovyo.
Nobody ni movie nzuri