korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
Na ni ya mwisho kwenye hii franchiseGuardians of the Galaxy vol. 3
Mzigo ushatoka. Ila ni cam version tu. Ipo clean sana ila ina mb za kutosha[emoji16]View attachment 2615121
Yes mkuu...labda kutakuwa na Guardians of the Galaxy return [emoji848]Na ni ya mwisho kwenye hii franchise
Sizan,james gunn aliconclude kabisa kuwa ndo ya mwishoYes mkuu...labda kutakuwa na Guardians of the Galaxy return [emoji848]
Doh haya labda watakuja na kitu kingine tofauti[emoji106]Sizan,james gunn aliconclude kabisa kuwa ndo ya mwisho
Lets waitDoh haya labda watakuja na kitu kingine tofauti[emoji106]
Enewei umekuwa mbishi sana 😀😀😀sema ninyi ndo hamjawahi ona on real life
Tony mkongo ushawahi muona wakiwa tiz??
hyo mambo ya akina iko yanafanyika mtaani
nenda hpo mabibo mwisho kuna akina bruce Lee wanapigana the same
humo kwnye nobody hamna vipondo.
yaani umeenda kushinda YouTube na google [emoji16][emoji16]Enewei umekuwa mbishi sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Nenda kaangalie youtube REAL KRAV MAGA In STREET FIGHT vipondo vya dizaini hiyo ndo tunavyo zungumzia.
Utavikuta kwa special forces tu. Na mpaka u qualify kuitwa special force jua vipondo vya hit and kill unavijua.
Hiyo krav maga ninayo izungumzia ni moja ya sanaa ya mapigano iliyochaguliwa na jeshi la israel ambao dhumuni pake ni kumaliza pambano ndani ya dakika chache ku disarm adui na kutumia siraha yake sasa hizo nyingine mpaka uanze kuroliroli umeshatandikwa risasi ya kiuno [emoji16][emoji16][emoji16]
Sita coment zaidi kuhusu jambo hili tuendelee ku enjoy movies wadau
ya kwanza ni fake at all, hzo zingine bado sijaona vipondo.korokwincho I think this will satisfy you. Hapa hupewi muda wa kurukaruka wala kuroli sarakasi. Inatakiwa upige na kuzimisha ili kujiweka mazingira salama na bila kuchoka
Sina myongeza umeshinda 💪💪💪yaani umeenda kushinda YouTube na google [emoji16][emoji16]
halafu krav sio kwa special forces tu
akina Fred mastro ni mmoja wa master wa hyo krav maga na anafundisha wengine
kwa kusaidia tu
hebu mtafute Master Teng-Yao akuoneshe wing Chun styles in reality.
uje useme sijui mambo ya fiction[emoji16][emoji16]
mi nmeiona jana..AKA 2023 KAMA HUJAICHEKI ITALUFAA KWA WKEND HII
Mwili wake umejaa majeraha ya risasi. Sehemu niliyopenda zaidi ni kule pangoni kwakweli ingeendelea kwenye mishe za huko ingekuwa muvi nzuri zaidi ya hapo ilipomi nmeiona jana..
iko Good Adam yuko serious saa zote [emoji2][emoji2]
Naombeni link ya movie 'Saving Private Ryan'